Recent content by kakyogia

  1. K

    Dr. Shika hoi kitandani

    Mkwepa Kodi una tatizo gani brother kabla la Dr. SHIKA lina uhusiano gani na ugonjwa wake?! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO tunashukuru kwa kazi nzuri mnayofanya pamoja na changamoto zilizopo. Mimi ni mwenyeji wa kijiji Kasharu Kitongoji Bugaju Bukoba vijijini. Tunaomba mshughulike Ombi letu ambalo limetumwa kwa RM Mkoa Kagera tukiomba tukadiriwe gharama za kupata umeme ili tulipie. Mradi wa REA ulipita ktk...
  3. K

    Kilimo cha Maharage: Mbinu za kulima, Ushauri na Masoko yake

    Ndugu zangu wanajamvi nimepata eneo ekari 2 nataka kulima Maharage shida ni makisio ya. mbegu kiasi gani ninunue? Je ni hatua zipi (spacing) zinashauriwa kitaalamu?
Back
Top Bottom