Recent content by Kakuru

  1. K

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam: TAZARA and Ubungo flyovers - Construction starts November 2015

    Inalekea wazo ni zuri kwa sasa, lakini lipo kwa muda mfupi (short lived). Lengo la kukwepa msongamano wa magari, ni kuondoa traffic lights zote. Mfano, kutoka airport kwenda chang’ombe, au kutoka chang’ombe kuelekea Kamata (au mjini) au kutoka Buguruni kwenda airport, na kinyume chake...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Taasisi kongwe zinazotumia jina la Tanganyika

    Vile kuna Tanganyika Instant Coffee Co. Ltd
  3. K

    JamiiForums Tanzania Bungeni kimenuka, Naibu Spika azomewa! Bunge lavunjika kabla ya muda...

    Ndugu wanajamii, Kilichotokea, kimeshatokea. Ushauri kwa viongozi wetu bungeni: Endapo hali kama hiyo ikijitokeza, si busara kwa spika kuendelea kufanya maamuzi kwamba Hoja imefutwa. Alichotakiwa kufanya, ni kuhairisha bunge bila kufanya maamuzi aliyoyafanya. Hii itasaidia kamati yake ya...
  4. K

    JamiiForums Tanzania 'Mwanajeshi' aliyepiga picha na Lema afungwa jela miaka minne

    Pamoja na kujua kifungu, kwani zile sare zilikuwa na nembo ya JWTZ? siku hizi hizi nguo za kombati zipo mahala pengi. Pole sana muhusika kwani umekiri kosa.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa vazi la CCM 'kijani na njano'?

    Nadhani alikuwa na nia ya kuonyesha kuwa yeye ni kiongozi wa nchi wala si tu wa chama fulani. Hii ilimpa heshima ambayo wengi wetu bado tunamenzi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza rasmi Mikoa mipya 4 na wilaya 19

    Inawezekana kwamba serikali ilikuwa na nia nzuri ya kuongeza mikoa na wilaya zake. Lakini kwa sasa inaweza kuhairisha kutokana na hali ya fedha. Serikali ina majukumu mengi yaliyo ya dharula na mengine muhimu. Si vizuri kufanya yote katika hali hii.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dk Mwakyembe arejea nchini

    Mungu ni mkubwa na muweza wa yote. Pole sana Mhe. Mungu akuongoze vyema katika hali hii. Tuendelee kumwombea
  8. K

    JamiiForums Tanzania Sherehe ya miaka 50 ya Uhuru, umejifunza nini?

    Nadhani yapo mengi ya kujifunza, na hivyo kuchukua hatua katika uongozi wetu. Maraisi wa Africa Mashariki hawakufika walituma wawakilishi, kwa nini? Tumekosa nini? Lile ambalo tumekosa tulifanyie kazi, au wao ndio wamekosea? Onyesho la polisi wa mbwa na farasi kupambana na waandamaji katika...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Star TV Jicho Ndani ya Habari: Wameenda mbali zaidi ya 'Tumethubutu,...'

    Mkuu upo sahihi kabisa. Si hii tu, kuna kauli mbiu nyingi ambazo baadaye zinatuletea matatizo kuzidefend; k.m kuvua magamba, n.k. Ni ushauri wangu kwa wote wanaohusika, kuachana na desturi au tabia ya kutunga kauli mbiu mara kwa mara. Zinatuletea matatizo kuliko nia iliyokusudia. Mungu ibariki...
  10. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: CHADEMA wakutana na Kikwete Ikulu

    Ndugu Wananchi, Kitendo cha CDM kupeleka maoni au malalamiko yao kwa Raisi wa JMT, ni jambo la mafanikio sana. Ni kitendo cha busara na chema kwa Raisi pia kuwakubalia. Kama maandamo yangekuwepo, bado still malalamiko hayo angeambiwa mtu fulani ambaye ni Raisi. Sasa hili limefanyika hata bila...
  11. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Kikwete uso kwa uso 27th Nov 2011

    Mkuu, maadamu tumekubali siasa ya vyama vingi, ni vizuri kutolalamika na yale yanayotokea ali mradi wasivunje amani ya nchi na raia wake. Tunahitaji uvumilivu wa kisiasa hususani upande wa serikali. Katika vyama vingi tutaona na kusikia mengi ambayo tusingeweza kusikia katika nchi ya chama...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Muda huu star tv Tundu Lissu & Celina kombani

    Si vizuri kuwajibia. Mtuambie Star TV ,kumetokea nini? na ni mara nyingi kwenye mijadala kama hii, kasoro hizi zinajitokeza kuna nini ?
  13. K

    JamiiForums Tanzania Daudi Mwakawago afariki Dunia

    Mungu ailaze roho yake mahala pema peponi. Amen
  14. K

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya: CHADEMA msikubali mkutano wenu na JK kuhusisha vyama vingine, hasa CUF

    Naunga mkono uamuzi wa Raisi kukutana na CMD. Ushauri wa CC ya CCM kwamba akutane na vyama vingine ni kuvuruga nia nzuri ya kuleta maridhiano. Hatutaki Ikulu kugeuka sehemu ya kuvuta ni kuvute. Vyama vingine kuwepo ni dhahiri mkutano hautakwenda salama bila kuvunjika. Tunamwomba Raisi...
  15. K

    JamiiForums Tanzania JK na CCM yake wanalipotosha taifa

    Nadhani mwanaJF yupo sahihi kwenye maneno ya red. Ni wazi viongozi wetu watoe mwelekeo wa hili. Na wasipotoa, inamaanisha nchi imepotoshwa.
Back
Top Bottom