Recent content by KAKAYAO

  1. K

    Nafasi za kujitolea JKT kwa vijana

    Tatzo watu wanakoxea kudanganya watu,baadae watu wanakuja kujuta,huku jkt nikwakujitolea hlo mlijue kabsa swala la ajira c lalazma ingalau znatokea,mtu wa dgrii ukija ucilenge ajira mja kwa mja utaumia,we pga koz pata uzalendo ksha ukpata ajira poa,umri kwa digrii mwsho miaka 33 hlo halina...
  2. K

    Nafasi za kujitolea JKT kwa vijana

    Jaman niliwah kuelezea vzuri kuhusu jkt na wenye dgrii,huku nkwa ajil ya form6 kurud chni,hao wanaotoa koment hum nakujidai n wanajesh na wanalijua jesh waache ubabaishaji waeleze ukwel kuhusu digrii na jkt hali ikoje sasa hv huku makambini,asije akawa ni mwanajesh lakn hayupo jkt yupo kambi za...
  3. K

    Msaada: Interview Utumishi

    wadau naomba msaada interview za utumishi kada ya computer system analyst,mana kada hii ni pana je wanapendelea sana kuuliza kwenye portion gani? tafadhali kwa mwenye ujuzi wa hili anisidie mana wengine ni fresh. nawasilisha.
  4. K

    Computer System Analyst

    wadau naombeni mwenye kujua ni maswali gani ya interview yanapendelea kuulizwa kwenye hii kada tafadhali,mana wengine fresh graduate.naombeni msaada wadau.
  5. K

    Tangazo la kazi lililotangazwa na Clouds FM

    Hiv wanajamvi chombo cha habari kinaweza kutangaza kitu bila kukihakiki? hawa clouds wanajidai wamjini sana hawana lolote wez tu hao wanashrkiana na wez kuwaibia vijana wa tz walosomesha na kodi za walipa kodi wavuja jasho.Kwan hapo clouds hakuna watu wenye taaluma za uandish wa habari au ndo...
  6. K

    Mtafuta kazi kuwa makini utapeli umeingia humu, utalizwa

    Kaka naomba msaada wa wakazi wa bukoba/ngala watueleze je,kuna shule inayoitwa st.angelic na wanafanyaje usaili wao.?
  7. K

    Mwalimu wa Chemistry/Biology O-level

    Shule inayohtaj mwalim wa chemistry na biology kwa o-level tuwasliane
  8. K

    Mwalimu wa Chemistry na Biology

    Kaka naweza pata mawasiliano yao mana npo mkoani,ili iwe rahs kuwasliana nao mkuu.
  9. K

    Mwalimu wa Chemistry na Biology

    Wadau wa jf,naomba msaada mwenye kujua shule ya private yenye uhitaj wa mwalimu wa chemistry na biology O-LEVEL,anipm nimpe contacts. nawasilisha wadau.
  10. K

    Ajira za uhamiaji zilizolalamikiwa zafutwa, mchakato kuanza upya

    PAMOJA MKUU,M/MUNGU YUPO NA ATATUONGOZA KWA HILI.aaamin
  11. K

    Ajira za uhamiaji zilizolalamikiwa zafutwa, mchakato kuanza upya

    Kaka Yusto humu jf kuna ------- kaz yao nikukatsha watu tamaa.Watu wapo serious kaz n ngumu kupata leo wamepata kwa hak yao wanadhulumiwa kutkana na wajnga wachache,tunaandaa mkakat wakusaidiana kujua hatma anatokea mtu kupost usenge kama huo hapo juu,ila yusto jua kuna watoto wa vigogo ambao...
  12. K

    Nafasi za kazi, Viettel Global

    sasa malioomba hawjatosha mbna mnakuwa wahuni nyinyi
  13. K

    Ajira JWTZ kwa wahitimu elimu ya juu lini?

    Tatzo watu wanapotosha xana wenzao humu jf,hawajui hiz forums zma msaada mkubwa xana kujulisha watu yale wasoyajua,tnaona watu mpaka PHD's wanakuja kuomb ushauri na wanapata msaada mwishowe wanashukuru kwa msaada,sasa watu wanaposema ukweli juu ya hoja iliyoletwa humu hakuna haja yakuipinga huo...
  14. K

    Ajira JWTZ kwa wahitimu elimu ya juu lini?

    Jaman hi ni jamiiforum watu wanaleta hoja wanapata msaada na tnaona watu wanaleta mrejesho kama kushukuru wamepata kaz kwa msaada wa wanajamvi.Kwa hyo usilete mzaha kwakuwa wewe umepata kaz au kutetea sekta yako yakaz kwa kudanganya watu waingie mkenge,mtu anaetaka nyota huku jeshini kama c...
Back
Top Bottom