Recent content by KakaVas

  1. KakaVas

    Comparison between Kenya and Tanzania (Tofauti kati ya Kenya na Tanzania)

    Plagiarizimu.... Kuna msg Wakenya wametu dhalilisha sana kama kweli imeandikwa na wakenya.....ila vitu vingine vinavijiukweli ndani yake vingine uongo but it's really painful on ×××....here it goes👇 Comparison Between Kenya and Tanzania I have spent quite some time in Tanzania: Dar...
  2. KakaVas

    BVR zimeanza kuchukuliwa kwa namna fulani

    Kweli bao la mkono ni la kuangalia sana. Kama mtu atatakiwa kukabithi kadi hii ambayo ni kikatio, iko wapi democracy ya kweli. Ama kweli maskini ndo anatawaliwa. Unanyanganywa haki yako ya msingi sababu ya njaa
  3. KakaVas

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Hata kama.. Backup generator kwa kampuni kubwa kama hii zilitakiwa ziwe attention. Na nadhani hili lilikua linategemewa.
  4. KakaVas

    Yaliyojiri Agosti 4/2015 katika Mkutano Mkuu wa CHADEMA Ukumbi wa Mlimani City, DSM

    Hivi CCM wanaogopa UKAWA kiasi hichi? Habari ni haki ya kila mtu. Ebu ITV rudini hewani
  5. KakaVas

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Naomba matokeo ya mwanza jamani. Ilemela na nyamagana
  6. KakaVas

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Huo ni ujinga na ushabiki wa kitoto. Ukawa wanaingiaje kwenye kura za maoni ccm?
  7. KakaVas

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Said Mtanda-Mchinga Kigwangallah Nzega vijijini Murji-Mtwara Mjini
  8. KakaVas

    GE2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    KURA ZA MAONI CCM 1. Mwigulu - Iramba 2. Nape - Mtama 3. Mwakasaka - Tabora Mjini 4. Mama Sitta - Urambo 5. Kadutu - Ulyankulu 6. Bashe - Nzega 7. Ngeleja - Sengerema 8. Seif - Igunga ktk jimbo jipya. 9. Masaburi - Ubungo 10. Jerry Slaa- Ukonga 11. Prof Kamala - Nkenge, Misenyi 12. Kagasheki -...
  9. KakaVas

    Maandamano kumtaka Dr. Slaa aseme kilicho myoni mwake

    Kweli chadema ni chama cha wananchi wote. Tumekijenga kwa kupigwa virungu na mabomu. Nakumbuka mabomu ya Arusha. Aise tunahitaji kuelewa kinachoendelea
  10. KakaVas

    Nape Nnauye ahojiwa na TAKUKURU kwa masaa 5

    Hakika hii ni aibu.. Na hakuna kitu atafanywa na kamati ya nidhamu
  11. KakaVas

    CHADEMA: Adui yetu ni CCM, sio mtu wala sio umaskini

    Ndugu... Hivi kumbe mmepanic hivi. Ebu kitulize dawa iingie..
Back
Top Bottom