Recent content by kakaricho

  1. K

    !!..new jobs today..!!

    thanks keep it up
  2. K

    Presion air wameshaita watu au kwa ajili ya interview

    kulikuwa na interview za post za accountants week 3 zimepita sasa. walishaita ndugu QUOTE=mwana mnyonge;2875806]jamani naomba mnijuze presion air walitoa nafasi za Accountant vipi walishaita watu au bado? wenu katika kutafuta kazi
  3. K

    kuitwa usaili TRA

    ungesema kweli kaka? nimesikia applicants walikuwa 37,000 na vimemo usiseme...ilibidi zoezi liahirishwe na hawa waliopita ni juhudi za external agency ndio imefanya recruitment, na kama kuna wa vimemo basi ni wachache sana labda wale mapapa but most of them are guinune.
  4. K

    kuitwa usaili TRA

    ndio kuna hao prentive assistants wameitwa pia, kuna jamaa yangu alikuja na barua yake ya kuitwa kwenye interview alitatafuta info/job description za prentivive assistant katika internet
  5. K

    kazi za deageo/SBL

    ndugu waheshimiwa deageo na SBL wameanza mchakato kutokana na nafasi walizotoa hivi karibuni. nimekuwa na mawasiliano nao tangu majuzi hivyo someni emails zenu. asanteni na all the best watakaitwa.
  6. K

    Maajabu ya nafasi za kazi UDOM... Kuna nini hapa?

    bwana mbweta nakushauri uende tu u never know, ila nimejifunza nini kutokana hizo data? ni kwamba huko tunakoelekea hali itakuwa si shwari. inabidi serikali ifanye kila liwezalo kutengeneza ajira hizo figure zinatisha hapo bado graduates wa mwaka huu hawajaingia katika soko la ajira
Back
Top Bottom