Mkuu nahisi unapotosha, nijuavyo Mimi, mkuu wa nchi anavyo vyombo vya ushauri ambavyo kwa vyovyote vile watakuwa wamemweleza faida na hasara ya kuzuia au kuruhusu hayo magwangala yagawiwe kwa wananchi. Yeye akishatoa agizo kinachobaki ni wataalam kukaa chini na kibuni njia nzuri ya kutekeleza...
Mkuu inawezekana Mbowe anawatumia kina TL bila wao kujijua kujikomba kwa wazungu ili at the end of the day wampe fedha za kujenga billicana mpya maana iliyopo inakaribia kuporomoka kutokana na uchakavu!
Mkuu umenena vema sana. Pili, kwa muumini yeyote wa dini atakubaliana na mimi kuwa hakuna 'roll modal' wa dini yeyote anayekubalika bila kuhojiwa na upande usiomkubali. Mathalani, wanaomwamini Yesu Kristo kuwa ni Mungu na Mwokozi inapingwa vikali na 'makafiri' (asiyeamini) na pia wanaoamini kuwa...
Kwa wakristo lipo neno Yesu aliwaambia 'wanafunzi' (wafuasi) wake hamjui muombalo!!! chanzo kilikuwa ni wao kumwambia watamfuata kokote atakakokwenda siku zote! Sasa, Lugola anataka kusema kuwa mwenyekiti wake alikosea kujaribu kuwaonyesha wafuasi kuwa hilo wanaloliomba 'dimensions' zake zilivyo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.