Recent content by KAKAO

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini natamani siku moja Nape Mosses Nnauye aje kuwa rais wa Tanzania?

    sio kweli ukawa wanamtamani Nape,yeue mwenyewe hajiwezi,lakini. ndg.HABARI YA MUJINI,tutaendelea kutawaliwa na watoto wa vigogo hadi lini??je watoto wa maskini na wakulima hawawezi kuiongoza hii nchi??
  2. K

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde (MNEC - CCM ) Ahama Kambi ya Lowassa na Kujiunga na Membe

    Huyo Mtaka kapewa U DC tuu kutokana na Mahusiano na Nduguze kwa wakubwa hana uwezo wowote,i know da guy ver well,Mtuuuupu kabisa kichwani
  3. K

    JamiiForums Tanzania Toyota raum inaizwa 6000000m

    namba ya gari ya usajili,imeingia nchini mwaka gani??picha muhm saana maana hata mimi nahitaji saana raum.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Gari ya binafsi kuwa ya biashara

    Ndugu zangu naomba msaada, nimenunua gari kwa mtu Hiace Super Custom nzuri sana, alikuwa anaitumia kwa safari za hapo Dar binafsi. Sasa nataka kuibadili kuwa ya biashara. Je; 1. Kubadili kadi isome jina langu 2. Kufungua faili TRA kulipa kwa awamu 3. SUMATRA ruti 4. Plate namba za biashara...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta hiace 3l/5l muhimu sana kwa mil.13.5/14 namba za usajili kuanzia c.

    Ndugu zangu kwanza niwashukuu saana nilipata gari mlilonishauri Baada ya kifanyiwa uchambuzi wa kina hapa. Naja Mbele yenu tena Naomba mwenye Hiace kwa ajili ya biasharaNamba za usajili C anijize nahitaji sana nina Mil.14.naomba saana ndugu zangu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kisheria tafadhali saana naomba

    KUNA BWANA AMENITAPELI MIL.3,NIKAMPELEKA MAHAKAMA YA MWANZO SINZA AKASOMEWA MASHTAKA AKAKIRI NI KWELI,AKAAHIDI KULIPA NDANI YA MWEZI AMENIPA MIL.1.8 BADO MIL.1.2,TUNASUMBUANA SAANA.ALIKIRI KUWA ENDAPO ATALIPA KAMA ALIVYOAHIDI ACHUKULIWE HATIA KALI ZA KINIDHAMU NA HAKIMU AKASAINI.SASA...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Siasa za udom kuelekea uchaguzi

    We aman mpuuzi saana badala ya kuwaza ajira unawaza ya udom pumbav kabisa,u shud be gud ktk masomo yako na si vinginevyo.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Siasa za udom kuelekea uchaguzi

    yaani wewe mpuuizi kweli unawaza habari za janus anaeondoka .....pumbav kabisa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Salma Kikwete

    frema huna la kujifunza???
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Salma Kikwete

    ni muhm kujua hist ya first lady ili unapooa iwe mf.kwako kama una la kuiga
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Salma Kikwete

    sio kweli kuwa ridhi kafanana nae
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Salma Kikwete

    Mama Salma ni Mama mwema saana mpole na mtulivu mmmno,am happy with our first Lady kwakweli.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta HTC One ya kununua

    Watanzania wagum kuelewa?duu,anasema HTC one not otherwise but Mkuu Wagwaan sijui kiswahili kigum siku hizi????ahaaaaa
  14. K

    JamiiForums Tanzania Nauza samsung s3 original

    Kelvin hio simu vp??pls jibu naihitaji saana am siriaz,kwa 310,000 nakupa no.0758216382, hata kama imeshauzwa nitafutie iliotumika kidogo,Lg g2,HTC ONE na Samsung s3,pls Kaka.ubarikiwe
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaj Toyota allex au toyota raum kuanzia 2004,my budget 7,000,000

    Mkuu Grafani ebu tupe details zake,kama sijakosea Raum ya mwaka 2001 ni new model??nafikiri from 2003 pengine.
Back
Top Bottom