Recent content by kakah

  1. K

    JamiiForums Tanzania Saa 1 na dakika 11 usiku hapa Mbeya jua bado linawaka

    Mutakuwa hamfatilii vizuri, siku hizi hata dar jua linazama kwa kuchelewa hata hiyo saa moja mara nyingi bado mwanga wa jua huwepo.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Billboard yametoa orodha yao ya Rapa bora wa muda wote

    Kwangu mimi 1_lil wayne 2_50 cent 3_slim shady 4_biggie 5_2pac 6_jay z
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ni ipi safari usiyoisahau?

    Habari, Miaka kadhaa iliyopita nilifanya safari amabayo nitaikumbuka kwa muda wote nitakao ishi hapa duniani, Nimeamua kushare hii story kama ifuatavyo. Miaka kadhaa nyuma nilikwenda mkoani Kigoma kufanya biashara ya kuuza vipuri vya magari, huu uamuzi nilifanya baada ya kufika mwaka mmoja...
Back
Top Bottom