Naomba kushauri serikali iondoe kituo cha daladala cha ubungo river side kwani kinasababisha foleni isiyo ya lazima.
Ubungo kuna flyover lakini foleni inayosababishwa na kituo cha riverside kama unatokea Buguruni inaondoa kabisa ladha ama raha ya uwepo wa ile flyover.
Kutokea Mwenge kwenda...
Watu walimuelewa vibaya DPP.
DPP alikua wazi toka mwanzo sema kuna tofauti ya kusoma na kuelewa.
DPP alisema atawarudishia wale walioonewa na kuibiwa na hao waliozurudisha. Kwa mfano kama wewe uliiba pesa SACCOS yako kisha ukabanwa na DPP ukazitapika. Kuna hela inatakiwa irudi kwenye SACCOS...
Naipata wapi hii mkuu.
Ahsante sana kwa ushauri. Nadhani wewe ndio unaweza kua umegundua tatizo.
Service hua nafanya kwa wakati lakini wananiwekea hizi oil za gearbox za kawaida na sio za CVT.
Je nikibadili oil hili tatizo litaisha?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.