VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa Wilaya za Misungwi, Nyamagana, Geita na wafuasi wao, jana walionja joto ya jiwe, baada ya wananchi wa eneo la Senta kuwazomea na kuambulia watu wachache kwenye mkutano wa hadhara.
Mkutano huo, ulinusurika kuvunjika kwa kupata watu hao...