Recent content by kajema

  1. kajema

    Dr Shika amekamilisha leo malipo ya bima kwa ajili ya kutumiwa fedha zake kutoka nchini Urusi

    There is a secret in this matter. Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
  2. kajema

    Lawrence Masha ajivua uanachama wa CHADEMA. Adai hawana nia ya kushika dola!

    Nivizuri kuwa huru ktk kufanya maamuzi hususani kwa jambo unaloloamini pasipo kushinikizwa
  3. kajema

    Wanaume wengi hawajui kufanya mapenzi ila wanachofanya ni kubaka wapenzi wao

    Kunawanawake hawapendi sana kusex nawengine wanapendelea.Same aplz kwa wanaume sasa ukikuta wameoana vice versa hayo hayaepukiki.
  4. kajema

    Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

    Nimuhimu kupata ushauri wa daktari ili kujua uwezekano wakumponesha
  5. kajema

    Mke wangu nimfanye kitu gani? Anatembea na mfanyakazi mwenzie

    kama unampenda mkeo mweleze ukweli kuhusu wewe kufahamu mahusiano yao. Ila mwambie umemsamehe na umuulize nini kimemfanya awe na mahusiano na huyo kijana friendly. Huenda wewe kunamahala ukumtimizia ndomaana katereza.Kuacha mwanamke sio suruhu kama bado na yeye anakuhitaji Sent from my...
  6. kajema

    Mauaji na Utekaji Tanzania: CHADEMA walia na Serikali, Lema, Masha na Kigaira walaumu IGP Sirro na Magufuli

    Chadema imepoteza mwerekeo kwasasa wanaishi kwa kufuata matukio nasio kuibua matatizo ktk jamii. Upinzani sasa ndembwendebwe hali mbaya rushwa na ufisadi havizungumzwi now ni video za kuchukuliwa wabunge na matamko yasiyo na tija kwa wapigakura wao na taifa kwaujumla
  7. kajema

    Nyalandu azidi kumpigania Lissu, kuangalia uwezekano wa kupata rufaa ya matibabu Marekani

    Watupatie taarifa ya kweli tu.maana inaonekana waz madaktar wa Kenya wameshindwa kuimarisha afya ya lisu.Hakuna sababu yakusema lisu anaendelea vzr wakati hakuna mafanikio yoyote. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kajema

    Hawakuwahi kujua kama LISSU ni mtu anayependwa na Watanzania kwa kiwango kikubwa hivi!

    Ukifikili kwakina hutakuwa namawazo yakiitikadi.lisu ni mtanzania na nikiongozi wa upinzani hakuna anayependa asiwepo. Ila tukubali tu kwamba kunawakati upinzani mnaturudisha nyuma kwakushindwa kukosoa na kutoa pendekezo kwa serikari baadalayake kila jambo linapingwa. Haya ni madhaifu makubwa...
  9. kajema

    Wanawake wenye waume walevi njooni hapa tufutane machozi

    Really Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kajema

    Edward Lowassa ashiriki kampeni za Uhuru Kenyatta

    Hii ndio siasa jamn.ukiondoa hayo mnayoyakemea hatakuwa na radha ya kuitwa siasa tena. Waswahili husema''siasa ni mchezo mchafu'' Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kajema

    Kauli za viongozi mbalimbali kuhusu mwanafunzi atakayepata mimba

    Binafsi nakubaliana na kauli ya mh.Raisi wa tanzania 2015-2020.Vutapicha wanawake wakiruhusiwa kusoma wakiwa wajawazito itakuwa nishule ya namna gan . Mjamzito nimgonjwa na hapaswi kuchujuliwa sawa na wanafunzi wengine.Vyuoni tu tunaona mimba zinavyowapeleka wadada sasa sekondari na msingi...
  12. kajema

    Lissu: Si mara ya kwanza tunaahidiwa kuwekewa mikataba wazi. Kumuunga mkono Rais si lazima

    Tatizo hatuna demokrasia yakweli.ndoiomaana wazungu wanatugawa kirahisi mno.Yapaswa kukubari pale unapoona mwenzio kafanya vzr na kukosoa pale anapoteleza.Kwahili la magufuli kuzuia makinikali pekee ni mwanzo mzuri wakuzuia upotevu wa asilimali zetu. Sasa napata shaka kuona nduguzangu upinzani...
  13. kajema

    Why Men Love or prefer bitches???

    Kukata mauno sio namna pekee yakuteka hisia za mwanaume.changanya mavitu na badilisha mwonekano kwann asivutiwe labda kama alikuowa kwa bahatimbaya
  14. kajema

    Mamia ya wanachama kuihama CHADEMA ni pigo takatifu hilo

    Uko sahihi lakini unasimama kwa misingi yakihitikadi.ukiangalia historia yanani alihusika miaka ya nyuma kwa nchi yakidemokrasia hatutakamata mtu.Tuanze sasa kwakupambana, kukusoa, napengine kushauri vizazi vijavyo visije tuona wapumbavu.
Back
Top Bottom