Alpha Homes ni kampuni inayohusika na ukarabati wa nyumba yenye ofisi zake mtaa wa Ohio (Posta) jijini Dar es Salaam. Ili kufanikisha malengo yetu tunahitaji wafanyakazi wawili ambao ni Accountant na Civil Technician.
Sifa za waombaji;
1) Muombaji awe na elimu ya ngazi ya Diploma kwenye fani...
Alpha Homes kampuni inayojiusisha na property management, renovation, maintanance na landscaping yenye makazi yake mkoa wa Dar es salaam inaitaji Building/civil technician pamoja na qualifications za elimu yake, anatakiwa awe mwenye sifa zifuatazo:
Aliemaliza chuo au uzoefu wa mpaka mwaka...
Mimi ni Civil Technian nimejiajiri hapa mjini, kwa nature ya kazi yangu ninakuwa na mizunguko ya kukagua kazi zangu au kuwa na sites visit. Nahitaji gari dogo la kunisaidia kwenye mizunguko yangu.
Muda ninapokuwa free kwa siku au kutoka site moja kwenda ingine naweza kuifanya uber ndio maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.