Recent content by kaizi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo: Serikali kununua umeme wa bei nafuu Ethiopia

    Unajua uache utani watu tunauchungu na maisha hivi kweli gas ya mtwara iko wapi jamani?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi kuwa Rais wa Tanzania kuliko kuwa baba wa Familia

    Du siasa za afrika ukizifuatiria sana lazima uwe chizi sijui tulikosa nini kwa Mungu
  3. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli bado hajanishawishi

    Nafikiri ni mapema mno kutimiza yote hayo kwa muda mfupi huu alioingia madarakani! hata Roma haikujengwa kwa mara moja jamani hata mwezi bado! nashukuru umekiri kuwa ameanza vizuri nchi ilisha oza ndugu yangu tumuombee tunaweza tukawa tumepata masiha
  4. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli apigilia msumari kwa mafisadi

    Nisera ya Chama au yake tu na je hata waliomweka atawapanda? Je utakumbuka Habari za kuvua gamba? Lilishuka? Naitaji gia nyingine kuniaminisha kekundu kuwa keupe
  5. K

    JamiiForums Tanzania Impact ya kuondoka kwa Dr. Slaa imeanza kuonekana CHADEMA

    Waziri-mkuu-mizengo-pinda-akataa.html w
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wasichana wenye elimu wana kiburi?

    lup CA Mheshimiwa hapa inawezekana pasitoshe kukueza habari hizi. kama upo daa tuwasiliane kupitia no 0713353467 hata hivyo, soma vitabu vingi vya uchumba hadi ndoa ndoa ni zaidi ya pesa au uchumi lkn itoshe kusema mke. mwema hutoka kwa bwana na biblia inatuonya kuishi na wake zeta kwa...
Back
Top Bottom