Yah ya kwanza sikusumbuliwa cz tatzo lilikua kwenye Chet Cha kuzaliwa so sikuchukulia Kama Ni big issue ,mpaka interview ya pili nilipokutana na wasimamizi walionikazia kuingia. NA HAKUNA ALIYE PRO KWENYE KUTAFUTA AJIRA WOTE TUNAJIFUNZA KILA SIKU.Ndiomana Kuna watu washapata kazi tangu uzi...
Mkuu kwanza kabisa Sina faida nikikudanganya wew au mtu yeyote humu, interview ilikua ya dk40 sio uptitude and gud thing Nina ushahid wa documents affidavit na tarehe niliyofanya interview vinarelate na mpaka leo sijaripot kazin so Amna aliyenambia nije apa kuongea positive things bout process...
Mwamba kaelezea vzur la kuongezea sauti itoke ukiwa unaongea(onesha unajua unachokiongea), tumia gestures wakat unaelezea points, jitahidi usiangalie pembeni hata kidogo waangalie wanaokuuliza maswali usoni, hakikisha unajib kila swali unaloulizwa hata Kama Ni points 4 Kati ya5.
Ndugu zangu katika utaftaji jumapili ya Leo nipo hapa kuwapa moyo kila mtu atatoka kwa wakati wake uliosahihi, naamini ilo kwakua Mimi Ni mfano unaoishi. Mwaka 2022 bada ya kumaliza degree ya kwanza 2023 niliofanya interview yangu ya kwanza nkafika mpaka oral watu waliitwa kazin zaidi ya 700...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.