wanamaguful mnafikr ka kondoo!ina maana mnasubr had mzungu awambie kuitoa ccm??ccm hawana hat miliki ya taifa hil..na uchaf wanaoufanya katka taifa hili una adhi ya kufutiwa na toilet paper...KWA HERI MAGAMBA
kwel bro,tuwe tunapeana na darasa kabsa hil watu waelewe..af tutaanza kuulizana na elim..make ccm mtaj wao mkubwa ni wenye elim darasa la saba kurd chin..ndo wanawategemea sana..wanafunz wa vyuo vikuu wanawazuia kupiga kura make wanajua hko hakna kura zao..cz wanajua ukwel..taifa hil...
let us not inherit the stupidity of past generation,ccm they compare us a rubish and they ar blocking our progress,they have killed our past and are bussy killing our future..wanaandaa kabur ka hatar katka taifa la kesho..
nawaomben wana ccm,wana act,chauma,tumuunge mkono lowasa huu sio muda wa kushabikia vyama..tuliangalie taifa kwa mapana..ccm hil taifa limewashinda..utajl wetu unatumika ovyo,madin sio unyevu wa mvua kwamba yanayeyuka yanard ardhin..wananch wamegaragazwa kwenye tope la umaskn. shtkaaaa.stop...
nspo mchangia lowasa n sawa na kukosa hak zang za msing
ndiye mkomboz wa wanyonge wanao teswa,kunyanyaswa,wanaobezwa,wanaozurumia na kunyanyaswa katk nch yao..sasa basiiiiiii
hiv nyie wanaccm vichwa vyen vina akl au vimejaa mifupa tu???
.
ningekuona mtu wa maana ka ungekuwa unautaarfu umma ubadhilifu wa chama cha mapinduz kilichowafunga wananch kwenye miamba ya umaskin,,watoto wa wapiga kura wanashindia mlo mmoja matumbo yamewavimba ka mimba ya mbuz huk utajr wa nch unatumika kujenga majumba ya kifahal nje ya mipaka ya tanzania...
napata wasiwas na hawa washabiki wa ccm..sidhan ka wana uwezo mpana ktk kufkr..ccm ina makund makubwa 3!la kwanza,ni lile lenye elim kuanzia la kwanza had la saba na wale wasiojua kusoma na kuandika wanaoamn kuwa wapinzan wakiingia tutapata vita..huu ni ujinga...kund la pil ni la matajir wakubwa...
huyu hapew chochote,kashapigwa risas ya akil ni mvivu wa kufkr..ni bora ukapigwa risas ya mwil ukafa tukakuzka,kulko kupigwa risasi ya akili ukashindwa kufkr ukaarb kizaz kijacho..kura ni dhamana kubwa usiendeshwe na hisia katk kuchagua viongoz...ukawa kimbilio la wanyonge wanaoteswa ktk nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.