Recent content by kaiyulankuba

  1. K

    TAARIFA: Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA - Rasimu ya Katiba, Hali ya Siasa, Uchaguzi

    Unatakiwa uwe chizi kuitetea serikali ya CCM.Sio siri inasikitisha binadamu kama ww mwenye akili timamau kushindwa kuguswa kwa unyama unaofanywa na police nchini kwa maagizo ya chama.Ujumbe wako hautofautiani sana na wa Nape na Mwigulu yawezekaqna ww ni mmojawapo wanaopanga njama chafu kama...
  2. K

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Kufutwa Kwa Mujibu wa Katiba!... Endapo ...!

    Loo sikuzote sikio la kufa halisikii dawa.Kwanza huyu bwana Tendwa muda wake wa kazi umeisha au hujui hilo anaendelea kufanya kazi kwa sababu analindwa na CCM na kwakuwa anafanya kazi ya CCM lakini anachezea pabaya sana CHADEMA ni kitu kingine kuliko mnavyofikilia.Tatizo lenu mnajifungia ndani...
  3. K

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Nasikia na hiyo Masters ya hapo MZUMBE aliandikiwa research na mtu.Huyu bwana atolewe katika nafasi ya uenezi vinginevyo ataua chama moja kwa moja.CCJ MOJA!
  4. K

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Tangu lini Butimba TTC ikatoa wanafunzi wa A.LEVEL combination ya EGM?mm ninachojua ni kwamba Butimba TTC ni chuo cha ualimu sasa inakuwaje huyu jamaa anasema eti Nape alihitimu pale A-level?
  5. K

    Bungeni: CCM kupitia Anne Makinda yaliumbua gazeti lake Jambo Leo. Yasema linaandika uongo!

    :gossip: :gossip: Sio tu kulifungia gazeti la JAMBO LEO bali hata kuleta ukweli ni upi kama jambo leo ni waongo basi mbona hakusema ukweli wenyewe maana kinachohitaji ni riport hiyo inayomhusu Bwana Jairo.Tunaitaka hiyo riport.Makinda anapenda kutolea majibu ya vitu visivyohusika na...
  6. K

    UPDATES: Kutoka Baraza Kuu la CHADEMA - Diamond Jubilee Hall

    Vipi wale wasaliti wa chama wanang'olewa lini?
  7. K

    Usahihi wa alichokizungumza Nape kuhusu suala la gesi ya Mtwara

    Kama wewe ni mfuatiliaji makini utakuwa unajua kauli ya Prof.Muhongo alivyo sema juu ya gesi.tena kumbuka huyu anasema eti yeye sio mwanasiasa yeye ni mtaalam sawa lakin ameshindwa kuonesha ni utaalam gani alionao juu ya tatizo hili.Kitendo cha yeye kutangaza kuwa gesi ipo katika mipaka ya...
  8. K

    'Mwanajeshi' aliyepiga picha na Lema afungwa jela miaka minne

    Hii ni dalili ya wazi kwamba Kikwete na serikali yake imechokwa hadi jeshini na kama mnabisha tembelea hawa makamanda watakwambia ukweli.Mungu ibariki tz
  9. K

    CCM yagundulika kuwahonga baadhi ya Vijana wa CHADEMA

    Wewe unadhani WASIRA alimaanisha nini kusema CDM kwishnei?Au unadhani huyu bwana ana lipi jipya la kufanya kwa watanzania waliochoka na ufisadi bila hatua yoyote ya makusudi ya kuwawajibisha?Hatuitaji mganga wa jadi au babu wa Loliondo kutuambia kwamba CCM ni adui wa maendeleo na haki hapa Tz.
  10. K

    Mwigulu Nchemba: Ninayo VIDEO ya Viongozi CHADEMA wakipanga mikakati ya mauaji nchini...

    Asante sana MWIGULU kwa kuonesha udhaifu wa serikali yako na usalama wa taifa uliolala.kwa mawazo kama haya inaonekana kabisa siri za ndani za CCM zinaanza kuvuja msiwe na wasiwasi watanzania Mungu atafichua kila ovu lilopangwa kufanywa na makafili hawa.Mkuu wa nchi ameshindwa kusema nn chanzo...
  11. K

    Juu ya tuhuma kwa Zitto na kundi lake kutoka kwa Mamuya...

    Haya mambo niliyajua mapema yatatokea maana huyu bwana Zitto amekuwa hasomeki mara anajitangaza kuwa rais kabla ya wakati,mara anazungumzia udini,mara ukabila,mara asafiri na rais,kwakwel inatia shaka sana. Lakini hata afanyeje hawezi shindana na Mungu na labda kama hajui aendelee na tabia yake...
  12. K

    RPC, OCD wagongana kuhusu CHADEMA

    Unashangaa OCD kutumika na CCM,yawezekana ww hufuatilii matukio muhimu mbona rais alisema mwenyewe kwamba CCM itakwama ikiendelea kutegemea police kwan unadhan alimaanisha nn?
  13. K

    On Magufuli na Odinga: CHADEMA wapo sawa!

    Siamini kama haya yanayofanyika ni ya mtu ninaye muamin kwamba ni makini kama mheshimiwa Magufuli.Lakini hata hivyo naye ameonekana kuchanganya mambo yasiyofanana kwa sabab ya presure za siasa.Yawezekana mbali na utaalam alio nao kuna jambo halielewi pale anapotakiwa kutoa matamko na maeneo...
  14. K

    Somo la Katiba ya CCM kwa Nape & Co

    UBARIKIWE KWA UCHAMBUZI MAKINI NA WA KINA.SISI TUMEYAZOEA HAYA MATAMSHI YA HUYU BWANA NA INAWEZEKANA VIONGOZI WOTE WA CCM WANAYATEGEMEA SANA NA NDO MAANA BADO AMEPEWA NAFASI HIYO YA KUTOA MATAMKO BILA UTARATIBU.NAKUMBUKA SIKU SILIZOPITA AMEWAHI KUTOA TAMKO KUHUSU KESI YA ARUSHA INAYOWAKABILI...
  15. K

    Kadi ya CCM yamponza Slaa... Sasa ashinikizwa kujiuzulu nafasi yake!

    Kama Dr.Slaa ni mwenzao kwann wanataka kumuua?Mara ngapi amewasema wazi kwamba wana mbinu chafu za kuwateketeza na hata huyo vuvuzela hakuwai kukanusha?Na labda utajiuliza waliomtosa au kila anayetoswa na CCM ni mbovu kwamba hawezi kuongoza na kwamba hawezi kulinda misingi ya umoja wa wawatz?au...
Back
Top Bottom