Recent content by kaitesy

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliye na mkataba na Mungu kuwa atakuwa na Afya bora milele?

    Wana jamvi kuna dhihaka imekithiri juu ya afya ya Mh Lowassa katika majukwaa mbalimbali ya kisiasa. Kuna wengine wamekuwa wapofu wa kufikiri kiasi kwamba wakiwa majukwaani badala ya kunad Sera zao jinsi gani watatuvusha wao wako bize kubeza afya ya mtu. Ninashangaa nchi imekwama mfumo wa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kigogo mbaroni Mwanza mauaji ya albino

    Aliyekamatwa nojba wangu ni Mwenyejiti wa Chadema magu nahisi harskati zake za kukiimarisha chama chake ndizo chsnzo cha kesi hii ta kusadikika... anaitwa silyvester Makanyaga
  3. K

    JamiiForums Tanzania Diallo una usafi gani wa kumsakama Edward Lowassa?

    Rukeni kama maharage lakini jueni kuwa 2015 ni Mwigulu Nchemba
  4. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Sikonge yapata uongozi mpya; Said Nkumba achanganyikiwa!

    nani kakwambia kuwa CCM watamteuwa Nkumba?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Wanaosaka Urais Kwa Fedha Za Kifisadi Wanyongwe 2015

    Mwigulu ndio habari ya mjini!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Urais 2015: Mwigulu, January hoi

    Rais ajaye atatokea mkoani Singida na ni moja kati ya wabunge wenye majimbo yaliyopo njia kuu iendayo Mwanza.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Majibu: Sijamtelekeza Baba yangu, Mzee Kigwangalla

    Me naona umemtelekeza kama vile alivyokutelekeza wewe. Na inaonesha ulikuwa na hasira naye kweli.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Vijana tunaliangamiza Taifa kwa kushabikia siasa

    Ninathubutu kutamka kuwa vijana tunaliangamiza taifa kwa haya yafuatayo. Vijana wa leo badala ya kuwaza Taifa letu linatoka wapi na linaelekea wapi, sisi tumekuwa vinara wa kuhubiri mauwaji na wapuuzi kibao kushabikia. Mfano kuna madiwani walisema CCM walipanga kuwalipua akina Slaa kule...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Vicent Nyerere na madiwani wa Shinyanga waliorudi kundini kutikisa jiji la Mwanza

    Sasa we umeona alama za uandishi hazipo? Au una mapungufu? Tatizo unakurupuka sijui upo chumbani kwa Slaa unakatika mauno.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Vicent Nyerere na madiwani wa Shinyanga waliorudi kundini kutikisa jiji la Mwanza

    Wale madiwani waliokubali kumlipua Slaa wakashindwa kutekeleza kisa hawakupewa mkwanja. Je wangepewa mkwanja wao mngeyasikia hayo? Hao hawafai katika jamii kwani baada ya kuona wamefanya biashara isiyolipa ndipo wakaamua kuweka waz mikakat yao haramu. Kwann wamekaa nayo rohon miez yote hyo? Kama...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Shibuda aumbuka

    Tanzania Daima ndicho chombo cha uenez ama cha makanusho?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nyota ya Mwigulu Yazidi Kung'ara!

    nyota ya kijana huyu kisiasa kwa sasa hakuna ubish kuwa Mwigulu anazidi kuwa juu kisiasa.
Back
Top Bottom