kifupi nimekwazika sana kwa maamuzi yao ya upendeleo zidi ya Zitto. Na hii naamini kabisa ikulu imeingilia uhuru wa mahakama. kwa mfumo huu ukombozi bado sana hapa tanzania.
zitto namshauri ajiunge ccm kwani anamahaba na ccm. kwa mfano wilaya ya igunga ina madiwani 2 wa chadema na haina mbunge hata wa viti maalum. leo zitto mnasema amejenga chama wakati kwenye jimbo lake ana diwan mmoja wa chadema. pamoja na umaarufu wake kapata diwan mmoja ktk jimbo lake. hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.