WANAPENDANA KWA MASLAHI, WANACHUKIANA KWA MASLAHI
Mwaka 2012, Zitto Kabwe akiwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Tanzania Bara, alituhumiwa kwa rushwa bungeni.
Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo na aliyekuwa Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Eliakim Maswi ndio...