Recent content by Kai_andrew

  1. Kai_andrew

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali yakiri Watu kushangilia Kifo cha Ndugai, ila yasema itawaeleza vijana kwamba hilo si jambo zuri

    Kwani si Kuna mtu alisemaga kifo ni kifo tu watu hufa na kuzaliwa?
  2. Kai_andrew

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Changamoto katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa Wanavyuo

    Tukizingatia mwezi wa kumi na Moja Kila mtanzania aliyetimiza vigezo vya kupiga kura anayo haki ya kupiga kura hapa Tanzania, swali langu ni je! Serikali imechukua mkakati Gani wa kukabiliana na hii changamoto kwa wanachuo ambayo katika kipindi hiki Cha uandikishwaji katika daftari la wapiga...
  3. Kai_andrew

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri kesi ya "Binti wa Yombo": Daktari aliyempima Binti aliyebakwa na Maafisa wa Jeshi atoa ushahidi Mahakamani

    Mimi sijui kesi zinaendeshwaje lakini najiulizaga mtu kitendo kinaonekana kakifanya hapo anatetewa Nini 🤔 kwanza hata wewe wakili wa watuhumiwa unatetea uovu kisa pesa🥺
  4. Kai_andrew

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Mkuu wa Wilaya ya Busega: Nimepigwa mawe wakati wa Maandamano, tumewakamata Watu 108

    An Hawa viongozi hawajapotelewa na watoto wao kutokana na ulinzi walionao tayari that's why wanatutreat like nonsense, kodi zetu ndo zinawalipa ndo zitutese? Sometimes nakaa nawaza huyo kiongozi ukiachana na cheo ananizidi Nini Mimi au mwenzetu anamiguu minne au haendi maliwatoni ama🤔
  5. Kai_andrew

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umebaini tofauti gani Uwanja wa Mkapa na Uwanja wa Samia unaotarajiwa kujengwa Arusha?

    Dah! Wanachuo wa Mwaka wa kwanza 2023/2024 wanalia kwa kupewa mkopo kiasi kidogo sana almost 70% wamepewa kiasi kidogo na wengine 20% kukosa kabisa ila bajeti ya uwanja wanaiweka juu sana au ndo michezo kwanza elimu baadae🤔
Back
Top Bottom