Recent content by kahulula

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Ndo maana nimekuambia siwashauri std 7 lkn elimu izo zingine waache wakajaribu bahat zao wapo watu wameenda wamerudi na wakapata kazi wakitokea majumbani kwao waache waende tungekuwa na fikra kama zako wote watu wangekuwa hawaajiriwi
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Bro kwani lazima waende jwtz fursa sio lazm tpdf vyombo vingine vipo mzee
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Usikariri kipindi kile mambo yalikuwa magumu but now days ukiwa na vigezo vya ajira unapata bila ufund wowote
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Msiwakatishe tamaa vjana waache wakajaribu bahati zao jkt mm nilipitia huko 2019 nikatoboa bila connection yeyote kikubwa kumuomba mungu na nidhamu pia uvumilivu kama ipo ipo tuu vijana nendeni jkt fursa zinakuja ila std 7 siwashauri.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ni maumivu gani ulipitia kipindi huna ajira?

    Nilichekwa sana wakat naingia jkt 2016 na hapo nilikuwa nimetoka kumaluiza chuo 2015 wenzangu niliosoma nao chuo walinicheka sana nilikomaa huko jkt miaka 2 na miez 9 nikijitolea sitasahau nashukuru jasho langu halikuenda bure saiv na ajira na cheo kizuri
  6. K

    JamiiForums Tanzania Fanyeni mazoezi wanaume wenzangu, acheni kula chips

    Endeleeni kula chips mtimamu nipo kuwasaidia
  7. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kama wanalipa vizuri baki tuu huko
Back
Top Bottom