Recent content by kaheyetu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba: Sing'oki ng'o. Mimi ni Mwenyekiti halali CUF, Kikao kilichonivua uanachama ni batili

    Wazalendo wapi jamani mbona mmepooza sana Prof ametisha madaraka sio mchezo kabisa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Zitto amemtuma ofisa wake kuisemea CHADEMA kuhusu Lowassa

    Hatuhitaji makapi
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria / Wakili anahitajika

    Ni kweli ushauri huo unaweza pewa lakini unalipiwa sababu ni profession za watu hizo
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mpango wa wabunge kufisadi nchi kupitia posho na kiinua mgongo huu hapa

    Nadhani UKAWA sio wanafiki they have some crucial agenda to be revealed and in fact, they have played a big role in revealing the government embezzlement, corruption and other sorts of evils done by the existing government
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mpango wa wabunge kufisadi nchi kupitia posho na kiinua mgongo huu hapa

    Hivi kumbe kuongezeka kwa magari Dar es Salaam kunamaanisha kua uchumi umekua na wananchi wana maisha mazuri?? Lakini najiuliza mbona ikifika tarehe 15 ya kila mwezi magari madogo ya kuendea ofisin hupungua barabarani na hupakiwa nyumbani ikisubiriwa mishahara iingie? Na wenye magari wengi ni...
Back
Top Bottom