Recent content by Kaguta

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA nchi nzima imeshika kasi

    Makaburu walikuwa wakatiri kuliko Ccm
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA nchi nzima imeshika kasi

    Kweli elimu yako ni ya hapa na pale
  3. K

    JamiiForums Tanzania Kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA nchi nzima imeshika kasi

    Ina uhusiano gani na kamatakamata inayoendelea?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kamatakamata ya viongozi wa CHADEMA nchi nzima imeshika kasi

    Habari zinazotufikia hapa makoa makuu ni kwamba viongozi wetu wa ngazi mbali mbali wa mikoani na wilayani wanakamatwa na kupekuliwa nyumba zao. Hotel mbali mbali zinazomilikiwa na wapenzi wa CHADEMA zinapekuliwa kila baada ya muda fulani. Taarifa kutoka mkoa wa Kagera zinasema polisi wamekuwa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

    Leo nimesikiliza DW anasemwa kwamba ameshuka na kamatakamata ya wapinzani na kufungia vyombo vya habari vimeshusha imani ya wananchi na kuleta wasiwasi nchini
  6. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

    Hii ni adhabu ya udhaifu wa Ccm
  7. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli amekosea wapi, mbona 'anachuja' haraka?

    Nadhani mleta mada alikuwa sahihi sana
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hali ya Afya ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema mashakani baada ya kugoma kula tangu akamatwe

    Kutomchagua mbunge kama Lema inabidi tuulize rekodi za Milembe kama jina lako halipo
  9. K

    JamiiForums Tanzania Hali ya Afya ya Mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema mashakani baada ya kugoma kula tangu akamatwe

    Habari zinazotufikia hivi sasa ni kwamba mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema amegoma kula akiwa chini ya ulinzi wa polisi kwa siku ya tatu leo jijini Arusha. Taarifa zilizotumwa na viongozi wa mkoa wa Arusha kuja makao makuu ya Chadema ni kwamba Lema hajawahi kula wala kunywa chochote tangu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa uso kwa Uso na Rais Magufuli kwenye Jubilei ya ndoa ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

    Magufuli aache kuropoka - F. A. Mbowe
  11. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa uso kwa Uso na Rais Magufuli kwenye Jubilei ya ndoa ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

    Twambia alimaanisha nini wewe unayejua
  12. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa uso kwa Uso na Rais Magufuli kwenye Jubilei ya ndoa ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa

    Wale wanaodhani Lowassa ni mwanasiasa wa mchezo wapime maneno ya rais Magufuli. Kwa mjibu wa gazeti la MTANZANIA la leo Magufuli alikaririwa akisema "nashukuru jubilee hiii ya mzee Mkapa imenikutanisha na waziri mkuu mstaafu Mh Lowassa na kupeana naye mkono. Ni kama muujiza"!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa: Tujitokeze kwa wingi Sept 1, tuandamane bila kuharibu Mali ya mtu

    Nakupenda sana Lowassa
Back
Top Bottom