Recent content by Kagoshi Alphonce

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kaka afumaniwa na dada ake

    kwani maadili ya kiislam yapoje? Mbona nanyi ni "walewale" Acha chokochoko za udini ndugu,haipendezi.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Watu binafsi na makampuni yenye uwezo ruksa kuzalisha umeme na kuusambaza

    Haina shida hata ikiitwa BAKHARESA POWER FACILITIES,raia twahitaji umeme. Kumbuka hii "mwenye nacho ataongezewa na asiekuwa nacho....... Ndio hivooo" duniani hatupo sawa, ulitambue hilo mapema na uliishi.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Watu binafsi na makampuni yenye uwezo ruksa kuzalisha umeme na kuusambaza

    Hata wakiwaajiri watu wao sie twahitaji nshati mbadala.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Wenye comb ya cbg tunapeta advance

    Mhhh hizi vurugu za CBG ,nendendi kulee kwenye ukurasa wa kitabu. Huku ni jukwaa la weledi twajadili maisha na jinsi ya kujikwamua na matatizo yanayoisonga jamii yetu. Nieleweke kwa sura hiyo
Back
Top Bottom