Mkuu Kijakazi hii mimi ndiyo naiita UTUMWA WA KUDUMU mpaka tukijitambua wote na tukaachana na UJINGA WA KUTHAMINI MILA na DESTURI za Wengine kisa IMANI!.
UPUZI MTUPU
Napenda kuwakumbusha ninyi Mtela Mwampamba na Juliana Shonza mnapopata posho zenu mkalipe mkopo wenu wa Elimu ya juu ili na wengine wasome ili kujitafutia kama ninyi!.
Kweli Mwigulu Nchemba umefikia hapa?.
Kweli wewe ni Nembo na Mwakilishi wa wana-Iramba wakiwemo wanawake (mama yako na dada zako)?.
Najiuliza kama unaishi na mke!.
Nimeona niweke mambo sawa hapo juu kwenye bandiko lako Mwigulu Nchemba ni mwiba mchungu kwa wake za watu (kule Igunga) na mabinti(Edna kipindi mwanafunzi chuo cha Ndala) sasa aende kwenu akawaparure m**a na d**a zako mpaka ngozi zichubuke!.
my web kwanza hongera kwa kuuona ukweli kuwa Mwigulu ni mchafu japo wanaweza kuwepo wachafu zaidi yake.
Pili; hapa swala sio kujulikana bali ni kujivua nguo mwenyewe kwa kushindwa kujitunzia siri zake na kuwaheshimu wengine.
Kama kiongozilazima ajue kila anachokifanya anawaongoza wengine pia...
Mkuu Mh. Mwigulu Nchemba na wewe wameku-Lwakatare?. pole sana cha muhimu umejitokeza umekana hayo majibizano!.
Je ni kweli ulimgegeda huyo Edna na kuliona hilo kovu lake?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.