Majibu ya Mwigulu Nchemba kwa vijana wanaohoji ''uheshimiwa'' zake

Status
Not open for further replies.
Ndiyo maana ka Juliana Shonza kamenona na hata ukikaandikia PM hakajibu, damn. Nina hamu nako sana ila ngoja nisubiri kwanza maana nisije kutembelewa na Madentisti wa Kucha na meno....

shonza.jpg
Mashalahhh!!!
 
Last edited by a moderator:
Kila siku huwa nawambia wanakijiji wenzangu!kama huyu kawa Mbunge hata mimi naweza,tena kwa ustadi sana
wewe unasema ubunge! wakati wanamtaja taja kumrithi jk unafanya mchezo na bongo nini mzee? hapa kila kitu kinawezekana.
 
Ina maana mapenzi na mtu yanaweza kukutoa hekima kiasi hiki? Tumia hata ID nyingine kukaripia hii kama unadhani utafukuzwa kazi
Karipio kwa lipi kama siyo kukushangaa wewe unayetaka karipio.

Kilichokufanya mpaka ukaingia kwenye maongezi ya watu wanaofahamiana ni nini kama siyo kupigia chapuo udaku. Hukuridhika kuingilia maongezi ya watu mpaka ukaamua kuiba kabisa kwa njia ya copy & paste.
 
Ndg wana JF SALAAM. Nimepata alart kuwa kuna mjadala unaendelea fb. Account hiyo iliingiliwa nikafungua nyingine. After sometime ikafunguka bila kuwa imetumika. I can see hiki ndicho kilikuwa kinatafutwa. I know nothing on what has been written on fb. Surely some people are working hard to turnish my image but the reality will always surface. Siasa za maji taka hizi. Even the conversation reflect somebody aimed at ruining somebody's personality. Nakushukuru ndg yangu ulienishtua
 
this what we called TANZANIA POLITICS IS IN TRANSITION ERA.
 
Hawa makada utawalinganisha na kumpotezea muda mtu kwa ndoa na watoto halafu ukaamua kukimbia na kwenda kwa mwanamke mwingine au kumtongoza mwanamke kwa hongo ya ubunge na kumpatia mimba wakati huo huo ukiwa umeoa?.

Kabla hujasema jambo, jiangalie kwanza kama wewe na chama chako kama mu-wasafi.
Tofautisha ndoa na utoto wa kuandika mambo ya kitoto kwenye mitandao ya jamii.

Mbona Mandela alioa na kuachana na wanawake wawili kabla ya huyu wa sasa? Kwanza alifunga ndoa na Evelyn Mase tarehe 5.10.1944, lakini akaachana naye mwaka 1956 na kufanikiwa kutoa talaka kisheria mwaka 1958. Mandela alimuoa Winnie Tarehe 14.06.1958 ambaye naye alikuja kumwacha Winnie mwaka 1995 na kumuoa Graca Machel mwaka 18.07.1998 akiwa na miaka 80. Mbona hatujasikia mnamponda Mandela kwa kigezo cha ndoa yake?

Mahusiano kati ya mume na mke ni personal na hata kama watu ni wema namna gani kuna wakati ndoa zinashindikana na zinavunjika. Kuoa tena baada ya ndoa kuvunjika kuna tatizo gani kama si chuki na kuamua kumchafua mtu baada ya kukosa jambo la wazi la kumchafua?

Lakini ku chat mambo kama haya kwenye facebook kwa mheshimiwa unaona ni sawa?

Lazima kutakuwa na tatizo kubwa!
 
Karipio kwa lipi kama siyo kukushangaa wewe unayetaka karipio.

Kilichokufanya mpaka ukaingia kwenye maongezi ya watu wanaofahamiana ni nini kama siyo kupigia chapuo udaku. Hukuridhika kuingilia maongezi ya watu mpaka ukaamua kuiba kabisa kwa njia ya copy & paste.

Mkuu haya sio maongezi ya ndani.....ni majibizano ya wazi kwenye jukwaa a CHADEMA VS CCM unaweza kutembelea juko
 
Ndg wana JF SALAAM. Nimepata alart kuwa kuna mjadala unaendelea fb. Account hiyo iliingiliwa nikafungua nyingine. After sometime ikafunguka bila kuwa imetumika. I can see hiki ndicho kilikuwa kinatafutwa. I know nothing on what has been written on fb. Surely some people are working hard to turnish my image but the reality will always surface. Siasa za maji taka hizi. Even the conversation reflect somebody aimed at ruining somebody's personality. Nakushukuru ndg yangu ulienishtua

Huyo ni wewe, na majibu uliyompa Edna yanashabihia na kujuana kwenu...shame
 
Ndg wana JF SALAAM. Nimepata alart kuwa kuna mjadala unaendelea fb. Account hiyo iliingiliwa nikafungua nyingine. After sometime ikafunguka bila kuwa imetumika. I can see hiki ndicho kilikuwa kinatafutwa. I know nothing on what has been written on fb. Surely some people are working hard to turnish my image but the reality will always surface. Siasa za maji taka hizi. Even the conversation reflect somebody aimed at ruining somebody's personality. Nakushukuru ndg yangu ulienishtua
Mkuu wewe ni public figure. Lazima uwe mwangalifu, na kama kuna watu wanaingilia mawasiliano yako ni lazima uchukue hatua mara moja vinginevyo tutaamini hayo yanayowekwa kwa jina lako.

Facebook ukiwatumia ujumbe kuwa akaunti yako imeingiliwa wanaifunga mara moja.
 
Mwigulu Nchemba atawawewesesha sana.

Kwa sasa mnafuatilia kila kitu anachofanya. Hatutashangaa kama mtakuja na story hata za mara ngapi anakwenda chooni kuonyesha ni jinsi gani mlivyo pauka na kuishiwa hoja.

Kitu gani hicho unachokiona cha ajabu kwa watu wanafahamiana au kikundi kuwasiliana kwenye uso wa kitabu.

Wewe unayeshangaa inabidi tukushangae kwa jinsi ulivyo nyuma kimawazo na kifikra.
Karipio kwa lipi kama siyo kukushangaa wewe unayetaka karipio.

Kilichokufanya mpaka ukaingia kwenye maongezi ya watu wanaofahamiana ni nini kama siyo kupigia chapuo udaku. Hukuridhika kuingilia maongezi ya watu mpaka ukaamua kuiba kabisa kwa njia ya copy & paste.
Mkuu, hapo ndipo unaonekana unatumika vibaya.

Haya mambo hakukuwa na grounds zozote za kuya justify.

Sasa unaona amekuja yeye mwenyewe na ameyaonea aibu na anayakana wakati wewe ulikuwa unatetea?
 
Mkuu wewe ni public figure. Lazima uwe mwangalifu, na kama kuna watu wanaingilia mawasiliano yako ni lazima uchukue hatua mara moja vinginevyo tutaamini hayo yanayowekwa kwa jina lako.

Facebook ukiwatumia ujumbe kuwa akaunti yako imeingiliwa wanaifunga mara moja.

Kaka hili ni kanusho baada ya kujishtukia...hana lolote, kuna member alimuuliza huku akiwa online kama hiyo ni ID yake, mbona ana majibu ya hivyo na akamjulisha kuwa mada ipo JF, ghafla akaibukia huku
 
Ndg wana JF SALAAM. Nimepata alart kuwa kuna mjadala unaendelea fb. Account hiyo iliingiliwa nikafungua nyingine. After sometime ikafunguka bila kuwa imetumika. I can see hiki ndicho kilikuwa kinatafutwa. I know nothing on what has been written on fb. Surely some people are working hard to turnish my image but the reality will always surface. Siasa za maji taka hizi. Even the conversation reflect somebody aimed at ruining somebody's personality. Nakushukuru ndg yangu ulienishtua

Its not easy for well minded people to buy this..you are capable of doing such acts, you dont have a clean image to punch this easily like that!
 
Ndg wana JF SALAAM. Nimepata alart kuwa kuna mjadala unaendelea fb. Account hiyo iliingiliwa nikafungua nyingine. After sometime ikafunguka bila kuwa imetumika. I can see hiki ndicho kilikuwa kinatafutwa. I know nothing on what has been written on fb. Surely some people are working hard to turnish my image but the reality will always surface. Siasa za maji taka hizi. Even the conversation reflect somebody aimed at ruining somebody's personality. Nakushukuru ndg yangu ulienishtua
Mkuu Mh. Mwigulu Nchemba na wewe wameku-Lwakatare?. pole sana cha muhimu umejitokeza umekana hayo majibizano!.

Je ni kweli ulimgegeda huyo Edna na kuliona hilo kovu lake?.
 
Last edited by a moderator:
Ndg wana JF SALAAM. Nimepata alart kuwa kuna mjadala unaendelea fb. Account hiyo iliingiliwa nikafungua nyingine. After sometime ikafunguka bila kuwa imetumika. I can see hiki ndicho kilikuwa kinatafutwa. I know nothing on what has been written on fb. Surely some people are working hard to turnish my image but the reality will always surface. Siasa za maji taka hizi. Even the conversation reflect somebody aimed at ruining somebody's personality. Nakushukuru ndg yangu ulienishtua

Hahahaa.. Mh. Sana Mwigulu... Na yule binti wa kitivo cha sheria pale Kampla Universty Uganda unayemtumia 'vijisenti' kwa approach aje Dodoma 'mngonoke' kwa ahadi ya kuendelea kumuwezesha na kumpatia fursa ndani ya chama. Mwezi wa 8 atarudi,pale pale k'nyama.. Wewe mbayaaaaaaaaaaaa..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom