Mkuu ukisema tunadai TANGANYIKA tusioijua kwakuwa tumezaliwa hatukuikuta unamaanisha Historia ya Nchi yetu iliyo ktk vitabu na kumbukumbu mbalimbali ni uwongo?,km jibu ni historia yetu ni ya ukweli mjue wengi wetu tumeisoma na kuelewa na ndio maana wananchi wengi wamependekeza serikali tatu,na...
Nchi nyingi za bara la Africa zimebadili maana halisi ya Demokrasia kutoka Democracy is a government of the people by the people for the people na kuwa Democracy is a government of the sum people by the sum people for the sum people. Unathani nchini mwetu Tanzania demokrasia nayo imekuwa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.