Recent content by kagemu

  1. K

    Wito kwa wana CHADEMA wote!

    Pale Bukoba mwaka wa uchaguzi uliopita kuna mgombea wa chadema misenyi alijitoa kugombea baada ya kunyimwa msaada katika harakati za kugombea ubunge, baada ya nguvu kupewa Rwakatale tu. I wish huo ni udhaifu, jamaa aliacha, akaendelea na mambo yake. Nafikili wanachama wa chadema mnaugua ugonjwa...
  2. K

    Raia Mwema: CHADEMA iache kujidanganya

    Sielewi kosa la mwandishi ni lipi maana nahisi ametoa maoni yake.Tatizo letu watanzania tunaamini wanasiasa ni kila kitu hapa kwetu wakati mnaolala njaa kwenu eti mwanasiasa hajaleta msosi kwenu najua ni wachache. Kuhusu hoja ya mwandishi nami namuunga mkono si kwamba amewadhalilisha bali...
  3. K

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Ni kweli uachosema hila naamini kumfumania mkeo hakumaanishi ulipomchagua ulikuwa mjinga na kumaanisha mjinga.Jiulize kwenu nyote mnafana? Kipindi chako chote wakati unasoma hukutumia vibaya mali za familia? au ya kwetu tunayasahau? Kila mmoja wetu aweke kioo ndani ya roho yake ajiangalie...
  4. K

    Kikwete afanya mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri - Aprili 2012

    Nilikuwa naongea na walimu wawili mimi na wao kwa pamoja tulikuwa tunalalamikia hali mbovu ya kiutawala na wakasema hali ni mbaya hata capitation imekuwa historia,tukakoment wajiuzulu hawa waliosababisha ubadhilifu. Kabla hatujafunga mjadala mmoja akamuuliza mwenzake '' eti mwalimu hivi...
Back
Top Bottom