Recent content by Kaganda P

  1. K

    UKAWA inahitaji viongozi aina ya Godbless Lema kutuvusha hapa tulipo

    ushike mvuta bangi umpe uongozi mkubwa hivo unategemea nn kitakachofata kwenye chama?
  2. K

    Tamko BAVICHA kuhusu mauaji ya Mwenyekiti wa CHADEMA Geita

    yaani kwa akili yenu nanyi mnaamini mch. Christopher mtikila aliuawa
  3. K

    Msimamo wa Sumaye kisiasa ni wa kiitikadi au kimaslahi?

    sumaye anataka maslahi wala hana hata chembe ya itikadi yoyote ni mchumia tumbo tu
  4. K

    Lowassa miaka 3, Sumaye miaka 10 Waziri Mkuu

    safi sana kwa kuliona hilo mkuu,,,hata kama ccm imechokwa lkn inabidi watu tuwatizame kwa umakini hao waroho wa madaraka
  5. K

    Kwanini tuaminishwe kuwa Mhe Lowassa anaumwa ilihali anapiga kampeni ya kufa mtu?

    kwan ni uongo haumwi,,,kama acngekuwa mzima acngekuwa ameshajibu juu ya afya yake na kikibwa zaidi hata hao wanaomnadi nao wanatambua kuwz mzee ni mgonjwa na ndio maana kapangiwa dk 10 za kusimama jukwaani kwan wanajua hawez kuzidi hapo akiwa amesimama.
  6. K

    Hii ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM, itakayopitisha majina matano ya wagombea urais

    kutokana na hiyo list,,,,safari ya matumaini ndo imekoma hapo,,,kiufupi mh. hana chake.
  7. K

    Usijaribu kusoma kozi hizi, utakufa njaa

    acheni kuwadanganya wenzenu,,,kama zimekuwa shida kwako so kwa wengine,,,kiufupi hakuna faculty zenye ajira ya haraka.
Back
Top Bottom