Recent content by Kadugweda

  1. K

    JamiiForums Tanzania Vita baina ya NATO na Urusi vyanukia

    God forbid!! If it happens, then it's the end of civilization... From my point of view, what's going on in Syria is the preparation for the 3rd WW, Russia ni superpower na ni member wa CIS ambapo pia China ni mwanachama.... na Iwapo NATO italaunch Nuke war na Russia then DPRK, ISI, na pengine...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Chama Tawala nchini Burundi kimewataka raia wote wa Ubelgiji waondoke nchini humo

    Africa!!!! Ina vituko kweli... OMG!! really ashamed to be an African...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanga - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Nipo Mwahako zoezi linaendelea vizuri ila kuna kada mmoja wa CCM anamlazimisha polisi awatoe watu waliopumzika kivulini kukwepa jua
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tanga - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Nipo Mwahako zoezi linaendelea vizuri ila kuna kada mmoja wa CCM anamlazimisha polisi
  5. K

    JamiiForums Tanzania Updates: Kutoka Jangwani Leo tarehe 24.10.2015

    Namshukuru Allah kuniweka has had Leo his nikishuhudia CCM wa naenda kuwa Chama cha upinzani
  6. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Mi npo Tanga stesheni gani wanarusha mimi one Rais wange EL
  7. K

    JamiiForums Tanzania Picha hii inakukumbusha nini?

    Sijawahi kuviona hivyo viatu
  8. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Helikopta yaanguka, aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe na wengine wapoteza maisha!

    Amen Mwenyezi Mungu awaweke mahali pema Peponi
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mzee MKAPA katika kibarua kigumu kuisafisha CCM Tanga

    Tanga ipo tayari kwa mabadiliko Wadigo tumechokaaa kwaheri Ccm karibu UkAWA!
  10. K

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa ahadi za mgombea Urais kwa Tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Edward Lowassa

    Jamani hebu nisaidieni mimi kwetu ni Kimara Mwisho sema kwa sasa naishi Makorora Tanga napenda kufahamu Kimara Mwisho ni jimbo la Ubungo au Kibamba???
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Kambi ya wananchi mita 100 ilivyozuia wizi wa kura Ubungo

    Nilikuwepo ilikuwa ni Loyola Sec. JOHN MNYIKA vs. HAWA NG'UMBI
  12. K

    JamiiForums Tanzania Masoud Kipanya katika ubora wake

    Hongera Masoud
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge TANGA MJINI awatukana watu hovyo hovyo

    Wazee hapa Tanga mjini sawa lakini vp uko Korogwe , Handeni, Muheza, Pangani, Loshoto, Bumbuli, hapa town Nundu hana chake Wadigo tumechoka now!!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wagombea Urais wote kupimwa afya ya mwili na utimamu wa akili

    Hii sasa ndio Hate Speech sijui TCRA wapo wapi???
  15. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa apata wadhamini zaidi ya Million moja laki tatu, Aweka rekodi mpya kwa wagombea urais

    Kwanini October 25, isiwe ni kesho?
Back
Top Bottom