Recent content by Kadoone

  1. K

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria za uteuzi yalipaswa kuongelewa na kina IGP wenywe sio mpaka wasemewe na Gwajima

    Kukaa kimya nalo ni jibu, kuliko kuexpourse ujinga ulionao mitandaoni. Yaani ikifikia hapo mana yake unataka waasi siyo🤔
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mamlaka za Tanzania zadaiwa kuiomba Instagram kuondoa nyaraka zinazoonesha ufisadi mkubwa unaofanyika nchini

    Na mimi nahisi hicho ndiyo kitakachofuata.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kuna connection kati ya wakuu wa vyombo vya dola na Gwajima na pia kuna vigogo wa chama cha kijani nyuma yake

    Inawezekana hujamwelewa au unahemka. Msikilize tena mkuu
  4. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video za Askofu Gwajima zafutwa Youtube

    https://youtu.be/e4hmrF1z-DY?si=OhdUIb0hH0u58MQ_
  5. K

    JamiiForums Tanzania Hii Kauli ya Samia leo imeweka wazi tatizo lipo wapi. Watu Wenye Akili wasikitika sana

    Mama y Huyu hateui, analeyewa CV tuu, hivyo yeye hana kosa wenye kosa ni wale wanaomletea CV za JITU/MAJITU
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jitu alilolichukua kutoka huko nje na kuliteua ni nani hasa?

    Nilikuwa naisubiria hii comment. Mijitu imekomaa, eti kasoma nje jamani.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mkopo wa bilioni 2.85 chama cha walimu ziliafikiwa chini ya rais Leah Ulaya, walimu tumeshtuka, box la kura litaamua

    Hakuna chama cha waoga kama waalimu! Uwingi wao hauwasaidii chochote. Poleni sana.
  8. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bila VPN hauwezi kuingia X (Twitter) Tanzania. Vipi huko mnaotumia Facebook na Instagram?

    Hata Jamii forum ikifika mpaka October ipo wazi, ni neema. Note: Mimi siyo Mtabiri wala Nabii
  9. K

    JamiiForums Tanzania Mahakama iangalie jinsi watuhumiwa wanavyo-behave kabla, wakati na baada ya mashauri yao. Leo Mahakama imevuna aibu kesi ya Lissu

    Tukiwaambia kuna makusudi ya kumchafua mama hamuelewi siyo? Kwamba Mahakama hawayajuwi hayo unayoyaoigia kelele????
  10. K

    JamiiForums Tanzania CCM heshimuni wazee, waacheni wapumzike

    😂😂
  11. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri Kesi ya Lissu: Mahakama imeahirisha shauri hadi 02/06/2025, mtuhumiwa amerejeshwa rumande

    Japo naona ukakasi kutumia neno "UJINGA" lakini acha nilitumie tuuu! Kuendelea kumshikilia huyu LISU ni kumpa umaarufu asiostahili! Labda kama mamlaka za kipolisi na zinazomshitaki zimeamua kumpa umaarufu huo basi na ifahamike hivyo.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Ushindi Wa Professa Janabi Wanibubujisha Machozi Ya Furaha nikiwa Nimepiga Magoti Mbele Ya Picha Ya Rais Samia Kumshukuru kwa Ushindi huu aliotupatia.

    Kwani Lucas wewe ni mwenyeji wa mkoa gani??😅😅😅😅😅😅😅. Kila siku unabubujikwa na machozi tuuuu si utaishiwa maji mwilini🤔
  13. K

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

    Jina lako linasadifu! Huenda kweli wewe ni Simba mwenye manyoya😅. Kila mtu ashikilie alipo. Lugha ina sehemu tatu ili uijuwe ( Kuandika, Kusikiliza na Kuisoma). Huenda unayemsema kakosa component hiyo moja ya "kuongea" ila kuandika na kusoma yuko vzr. Wigwa Nshimba ya bhuyenze😅😅😅
  14. K

    JamiiForums Tanzania Elimu yetu inabidi kutazamwa upya. Haiwezekani mtu ajiite Prof huku hajui kiingereza

    Kwani wewe ni mwalimu wa somo gani Literature form 3B au? Karine hii unalingia na kujidai kwa lugha za kigeni? Kama siyo ulimbukeni ni nini!. Tunachoangali ni nini ulichonacho kichwani. Mawazo na fikra ya tafiti zako ulizofanya zinafaida gani kwa jamii na taifa lako. PhD hazipimwi kwa kuongea...
Back
Top Bottom