Umeandika ukweli mtupu, ila Afrika hatujielewi. Mmarekani na nchi za ulaya kwa ujumla hawatoi msaada bila wao kufaidika, na wao ndiyo chanzo cha kukosekana kwa amani duniani. East Afrika tumefikiwa na uchonganishi wa hao jamaa dah! inauma sana.
Uzi huu una mashiko, Afrika tumekuwa kama mti uliotenganishwa na shina lake, kama tungeachwa tukakua wenyewe na mila zetu na tamaduni zetu naamini sasa hivi tungekua tumeendelea sana. Mbinu iliyotumika imefanya waafrika wengi kutojikubali na kutojiamini. Kila jambo zuri linaonekana linafanywa na...
Ama kweli umenena muungwana,katika watanzania wachache waliojaaliwa kuona mbali na wewe ni mmojaw wao,ila watanzania tumerogwa kwa kuwa hatufanyi upembuzi yakinifu kufuatia mwenendo wa siasa za nchini na wanasiasa wetu zaidi tumekalia ushabiki wa vyama na mtu anayegombea, kuliko kujiridhisha...
napata mashaka na analysis yako,napata shida na maadili unayoyatetea,maana kama unafuata maadili basi ungeweka post zote kuhusu shilole, star tv, roma and so many more ambazo zinavunja maadili ili upembuzi yakinifu ufanyike,Vinginevyo ungenyamaza.
Umeona eeh! halafu kila siku wanasema nchi ina demokrasia,uhuru wa kuongea,ukiongea ukweli kosa,ukiongea upuuzi ni sawa is it? it is time to let a free will democracy take place, we are tired with everything going on in this country,viva Roma viva.
Hahahaaaa! watanzania oyeeee!!!!!!!! umenigusa kwa majibu mazuri uliyompatia,badala ya kuwashauri viongozi waisikilize hiyo nyimbo ili wajirekebishe eti ifungiwe ni kweli? nyimbo za mapenzi kibao zisizo na maadili hazifungiwi kwanini wimbo kama huu wa Roma unaowakilisha kilio cha watanzania...
Alichoongea Roma ni ukweli mtupu,kuna nyimbo za mapenzi zina uchafu mtupu na uvunjifu wa maadili zinapigwa kila siku na hazikufungiwa,Nyimbo inayoeleza ukweli na inakosoa ili tujirekebishe kama taifa, mnataka ifungiwe?Watanzania tusiotaka kuambiwa ukweli! Ni tatizo.
ningelikuwa nina uwezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.