Recent content by KadogooCate

  1. KadogooCate

    Kwa bei hizi ni akina nani hununua bidhaa kutoka maduka ya Street Soul ya Dar es Salaam, Arusha na Mwanza?

    Kungekuwa hakuna wateja wangekuwa washafunga maduka yao. Nadhani hatufanani, mtu kama Mo hawez kwenda kupanga folen kkoo kununua mkanda, au hawez kusubir masai apitishe ndo anunue.
  2. KadogooCate

    Mataifa ya Marekani, Umoja wa Ulaya, Japan na Mamluki wote msithubutu kuishitaki, kuweka vikwazo na kupandikiza magaidi Tanzania mtajuta

    Ndio uone watz wengi ni empty set, wanafuata mkumbo tu na wamejaa chuki za kipumbavu wala hawajielewi. Huyo kigogo anayewajaza ujinga yeye yupo zake nje huko hata ikitokea baya halitampata, waache waendelee kuombea mabaya as if nguvu za kukabiliana nayo wanazo
  3. KadogooCate

    Taswira ninayoiona ndani ya CCM baada ya uchaguzi hadi kufika 2025

    Bado tu mnaendeleza propaganda hamjachoka tu
  4. KadogooCate

    GE2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

    Acha uongo, mimi na familia yangu ni watz na tutamchagua anko magu hatutaki ujinga
  5. KadogooCate

    GE2020 Uchaguzi tarehe 28; CHADEMA inapoteza kila kitu

    Acha waendelee kujipa moyo mkuu ila ndani ya nafsi zao wanajua fika hawataing'oa ccm madarakani, ndio maana mgombea wao ana tiketi ya ndege trh 30 oct. Kaja kuvuruga aman kisha asepe zake majuu atuachie majanga lkn hilo halitatokea kamwe!
  6. KadogooCate

    GE2020 Bado sioni njia ya CCM kushinda huu uchaguzi. Kivyovyote vile, CCM imepoteza mpambano

    Oct 29 ndo utajua hujui na hz pumba ulizondika hapa mkuu
  7. KadogooCate

    GE2020 Namuombea kura za ndio za kishindo Dkt. Magufuli

    Amepata asubuhi mapema mkuu sem jengine
  8. KadogooCate

    Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

    Yap niliondoka na mikono mitupu, watoto tulikuwa nao wawili wakati huo walikuwa wadogo first born 3yrs na sec born 1.5yrs. Nikaenda kuanza upya. Yes am happy with my present, yeye nilisikiaga ameoa tena na kwakweli sijui maisha yake yanaendaje kwa sasa
  9. KadogooCate

    Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

    Ndio tulikuwa na kiwanja, magari ma2 na min supermrket, tulipoulizwa kuhusu mali tulizochuma mi nilitaja lkn mwenzangu akasema hajachuma chochote na mimi. Nikashukuru Mungu nikaomba mahakama asomeshe na kutunza watoto tu kama hajachuma chochote na mimi.
  10. KadogooCate

    Ushuhuda kutoka kwa wanandoa waliowahi kuachana, hasa mliokuwa na watoto mkaamua kuacha kila kitu na kuanza upya

    Mimi nilikuwa muhanga wa talaka nilipotengana na mzazi mwenzangu. Alikuwa na rafiki yake ambae ni hakimu wa kiteto. Akamuuliza namna tunaweza talikiana akasema mimi ninatakiwa kwenda mahakamani kifungua kesi ya madai ya talaka. Nilipoenda nikapewa maelekezo ya kufuata kufungua file na kulipia...
  11. KadogooCate

    CHADEMA: Polisi wenye silaha za moto wazuia msafara wa Makamu M/kiti wetu, Tundu Lissu ukielekea Kibaha

    Ratiba yake inaonesha anatakiwa kuwa wapi leo? Msilaumu ukute kavunja sheria
Back
Top Bottom