Recent content by Kadodo1

  1. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Oktoba 29

    Hata kama una hasira, ukitukana ndo hasira zinaisha? Ndo unapata nafuu ya maisha? Kama ndivyo tukana tena
  2. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Oktoba 29

    Kama hukupata hela pole sana.. Wenzako hadi sasa wanaingiza hela kutokana na 29 October
  3. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Oktoba 29

    Hata wewe unaweza kuongelea. Sababu hata mimi siliungi mkono
  4. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Oktoba 29

    Tubishane kwa hoja.. Acha kukimbilia kujificha kwenye ujinga.. Unajidhalilisha
  5. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Oktoba 29

    Upo sahihi. Walofanya hivyo hawana budi kutubu. Hata hela walizopewa zimeshaisha
  6. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Oktoba 29

    Fafanua hoja yako. Punguza munkari
  7. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Oktoba 29

    Lilipangwa kwa umakini na kufadhiliwa kikamilifu kutoka nje, lenye lengo la kuhujumu uthabiti wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
  8. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Oktoba 29

    Una maana gani?
  9. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Oktoba 29

    Nipo Benaco jirani na mama shilingi
  10. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Oktoba 29

    Ndo nani?
  11. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Oktoba 29

    Kivipi?
  12. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Oktoba 29

    Umefaidika nini?
  13. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Oktoba 29

    Punguza matusi. Unamdhalilisha mama yako kwa malezi alokupa
  14. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Oktoba 29

    Punguza hasira. Jikite kwenye mjadala
  15. Kadodo1

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya Oktoba 29

    Tutazilipa au watazilipa?
Back
Top Bottom