Recent content by Kadoda nguku

  1. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Mwenezi Makonda Amtimua Mkurugenzi wa Nkasi Kwenye Mkutano Baada ya Wananchi Kumlalamikia

    Wananchi kutoa malalamiko ya kero zao Kwa Makonda ni ushahidi tosha Kwamba ,wateule wa Rais wameshindwa kumsaidia Rais. Wateule wa Rais wanakuka Bata baadala ya kutatua kero za wananchi.
  2. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Hili jiji ni balaa

    Wapi
  3. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Hili jiji ni balaa

    Nipeni chimbo za wadada poa dar,
  4. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tulia Ackson afanye nini wananchi wa mbeya wamwonee huruma? Amefanya matamasha mengi ila Wanyakyusa wamemkazia

    Tatizo la mbeya sio wanyakyusa, wale wakinga na wanyiha na wandali , huwa hawaeleweki
  5. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu anafaa kuwa Humphrey Polepole, CCM itashinda asubuhi sana

    Tatizo Pole pole haamini katika siasa za ushindi wa jukwaani, tofauti na wenzake akina Kikwete, Kinana. Yeye anaamini katika siasa za Wizi , virugu na siasa za ujambazi za uibaji wa kura . Sasa hizo sio siasa za kidemocrasia, yeye na jambazi mwenzake Bashiru wapo katika mlengo wa siasa...
  6. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Aibu: Rasmi Ethiopia imefilisika, ni baada ya kushindwa kulipa madeni yake. Yaungana na Zambia & Ghana

    Nchi inaendeshwa Kwa njia ya VICOBA, kukopa Kila inapoitwa Leo, ubunifu wa ukusanyaji wa Mapato Kwa kutumia vyanzo vya ndani ,umeachwa kabisa ,sasa ni mwendo wa kukopa kuendesha nchi.Ndugai aliona mbali
  7. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

    Watu tunachohoji kwa nn apewe mwarabu, bila kufuata taratibu za manunuzi, tenda walitangaza wapi. Sheria ipo very clear kuhusu kushindanisha .Huyo Dp kapataje hill deal, . Utarabu ungefuatwa pasingekuwa na shida, Kwa makosa kama haya anayoyafanta mama ,nchi hii haitakuja kutawaliwa tens na Rais...
  8. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Waziri Masauni, kaa kimya Watanganyika tunapolia juu ya urithi wa rasimali zetu

    Hawa waarabu wakiruhusiwa kuja ,tutapata taabu,bora hata wachina , hawa waarabu tutafirwa wananchi wote .bora wachina wanahofu ya Mungu .lakini hawa waarabu tujiandae wote kuwa wanawake
  9. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuvaa T-shirt yenye bendera ya Tanganyika siyo Uchochezi?

    Weka picha kiongozi,ili bandiko lako liwe na maana
  10. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Lissu hana staha za kauli kwa mamlaka, arudishwe Ubelgiji

    Nyinyi ndio wazanzibar mnaonufaika na matunda ya Tanganyika, mpo huku Tanganyika mnafanya kazi za watanganyika, kuna shule moja huku kwetu tumeletewa ajira mpya za mwaka Jana wapemba 2 , kuna wakuruenzi ,madas na wakuu wa wilaya . Soon tutaweka hapa ,tutaweka picha ya mmoja baada ya mmoja na...
  11. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

    Ndugai alikuwa sahihi sana, Ila tatizo no system.
  12. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Update Kesi ya wananchi kuhusu bandari mahakama kuu Mbeya

    Kesi ya ngedere unampelekea Nyani, unategemea nn
  13. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atengua Uteuzi wa Wakuu wa Wilaya za Temeke na Kilindi

    Na kukopa ,nchi imegeuka kama vikoba, unakopa huku unalipa huku,
  14. Kadoda nguku

    JamiiForums Tanzania Kumbe Tanzania ilikopa fedha World Bank kuendeleza bandari, DP World anakuja kutumia fedha hizo kufanya kazi ambayo Tanzania imeikopea fedha WB-SOMA

    Tanganyika inakopa matumizi yanafanyikia Zanzibar, Wazanzibar mnakula jasho letu, Mungu anawaona. Yaana ela za Tanganyika zinaendeleza Zanzibar, nafas za ajira za Tanganyika wamewekwa wanzaxibar, tumeletewa walimu toopu wa znz,.
Back
Top Bottom