Recent content by kadamlo

  1. kadamlo

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    Broo umetumia akili ndogo sana kulifatilia hili jambo na kureact, ngoja nikupe jibu la hilo, ukilazimisha ndoa na mwanamke ambae hakupendi kisa uzuri wake ni lazima ukubali matokeo yote,fatilia mfumo wa mahakama ya zanzibar ni lazima kuna kadhi,maana yake ile ni nchi ya kiislamu kwaivyo machaguo...
  2. kadamlo

    Naombeni ushauri wenu kwenye hili

    anajua udhaifu wako ndio maana amekutishia ivyo anajua unampenda sana alaf hao aliokuja nao ni washkaj zake kawasimulia kila kitu kaa nao vizuri au watafute uwaulize watakuambia ukweli. alaf wewe ni bado unampenda huyo mtu ndo maana hujui cha kufanya.usingempenda usingeuliza yan maamuz ungekuw...
  3. kadamlo

    Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    kama yesu alijua atasalitiwa na yuda ili yatimie maandiko bado hujanielewa kama shetani nae anamsaidia mungu ku balance dunia? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. kadamlo

    Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    mataifa yote makubwa yana sera yao inasema MUNGU HANA DEMOKRASIA LAKINI ANAITANGAZA DEMOKRASIA KUIBALANCE AMANI YA DUNIA maana yake wao mataifa makubwa hawatumii demokrasia lakini wanaitangaza demokrasia. lakini nchi dhaifu kama yetu inadhani dunia inaendeshwa kwa demokrasia ndio maana inahisi...
  5. kadamlo

    Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    ishu ni kwamba kuiendesha dunia hakutaki demokrasia. muathirika wa mapenzi ya jinsia moja ni sawa na mtu mwenye njaa ya damu.kwa upende wake anaona yupo sahihi kwasababu hana jinsi zaidi ya kutaka damu ili aokoe maisha lakini serikali haitakiw kumuacha mtu huyu kwasababu ni tishio kwa watu bila...
  6. kadamlo

    Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    unaweza kuliamini jambo kwasababu unalijua kwa kina au kuliamini jambo kwasababu hulijui undani wake. we unadhan kuna sababu ya dereva pikipiki asievaa element kukamatwa wakat bado hajapata hajari na iyo ni starehe yake na hajalalamika yeye au mtembea kwa miguu ? dereva pikipiki anakamatwa...
  7. kadamlo

    Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Duh we jamaa hufikiliag mbali kama ni starehe yake kwaivyo hata watoto wa shule wakishka mimba ni sawa kwasababu ni starehe zao? Au madawa ya kulevya si starehe zao. Mapenzi ya jinsia moja yana madhara kwa wanaume ko kinachokupeleka mahakamani ni madhara sio ulichofanya yan ni sawa na kutaka...
  8. kadamlo

    SoC03 Utawala dhaifu katika Taifa

    Utawala dhaifu Utawala dhaifu ni utawala ambao haujajikita katika njia moja ya kiutawala ambayo ni imara na ya haki, ndani ya utawala kuna itikadi na misimamo tofauti,ndani ya serikali hakuna kundi la kudumu la waamuzi,ukoloni mambo leo una watumia baadhi ya watawala,utawala usio jitegemea...
Back
Top Bottom