Recent content by Kada 2001

  1. K

    JamiiForums Tanzania HOJA Ipi hatma ya fedha za Basket Fund(HSBF) kwa vituo vya kutolea huduma za Afya?

    Ni jamaa yangu ananiambi vituo huko mawilayani zina hali mbaya sana. Hii ndiyo hasara ya kuwa tegemezi.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada dawa ya mawe kwenye nyongo

    Kama ni makubwa dawa inaweza isisaidie ,ikabaki option ya upasuaji.
  3. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Hospitali ya Wilaya ya Mbinga (MDH), Watumishi hatulipwi stahiki zetu

    Nimeambiwa na bwana mmoja ya kwamba fedha za basket hazijaja, zaidi ya miezi 9 sasa, huko kwenye vituo vya huduma za afya hali ni mbaya sana. Hata kwetu wazabuni hatuna matumaini ya kulipwa madeni yetu tunaodai vituo vya huduma za afya.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nimepangiwa kazi Bunda TC Ni mwalimu Sekondari, naomba kujua kukoje

    Hongera kwa kupata ajira. Bunda ni wilaya nzuri ya kuishi wala hakuna shida. Vyakula vipo vya kutosha, vyumba vya kupanga kuanzia elfu 30 hadi 50 unapata shumba kizuri kikiwa na umeme na maji. Pia Bunda ipo kwenye barabara kuu ya kutoka Mwanza kwenda Musoma/Tarime/Sirari. Umbali wa kutoka Bunda...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Top 5 Mikoa inayoongoza kwa Matukio ya kutisha Tanzania

    Nitakutumia
  6. K

    JamiiForums Tanzania Top 5 Mikoa inayoongoza kwa Matukio ya kutisha Tanzania

    Nipo Tarime mwaka wa saba sasa, pametulia sana , alafu maisha matamu sana uku Tarime.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Chato kuwa kituo cha muda kwa majeshi ya SAMIDRC kurejea makwao kutoka Congo

    Kuwasafirisha toka chato hadi nyumbani. Kwani Chato siyo nyumbani?
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine hauhitaji kusema chochote – uwepo wako husema yote

    Ngoja tumfundishe mambo ya msingi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine hauhitaji kusema chochote – uwepo wako husema yote

    Unajaza saver bila sababu alafu pia ni ushamba.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine hauhitaji kusema chochote – uwepo wako husema yote

    Ana ulimbukeni huyo.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Wakati mwingine hauhitaji kusema chochote – uwepo wako husema yote

    Mshana acha ushamba wa kuwa unacopy namna hii. Bora kuweka like au kupita kimyakimya.
Back
Top Bottom