Recent content by kabwe katal

  1. K

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna kikundi kinamilikiwa na mtoto wa Rais ambao ofisi zao zipo kwa ajili ya mitandao ya kijamii

    Ikiwezdkana awe na kikundi cha kutuua kabisa labda akili zetu zitatukaa vizuri.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Muulizeni Diamond Platinumz aliyewakodia Private Jet kwenda Nigeria walimlipa nini kama wao hawapewi pesa za bure? Aaache matusi kwa watanzania

    Mi sioni kosa lake watanzania tunastahili haya matusi.tena sana tu.
  3. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    Huyo msanii kama kweli ametutukana amefanya vizuri sana.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Pamoja na tofauti za kisiasa: Rostam Aziz ni mfanyabiashara mzuri!

    Mkuu vodacom ni ya CCM kama hujui.Rostam alitaka kuwadhulumu kama alivyofanya kwa channel ten na mali zingine za chama.unaweza usiamini lakini ndio fact hiyo.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Msaidizi alipotukanwa na mwenye nyumba kwenye veranda, mmiliki wa awali akamwambia tu namaliza mchezo kuwa mvumilivu. 8/100

    Inatisha sana aisee bingo ni hatari sana kuwa kiongozi.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Watoto wa captain John Komba na nyimbo za baba Yao za kuudhihaki upinzani!! Kweli hakuna aijuae kesho yake!!

    Ccm mbele kwa mbele sio watoto wa Komba tu hata watotowa Makamba na Lowassa nao wanaisoma namba.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kasema Robo tu! Asee, sema yote - umekuwa kwa nafasi unayoaminika kuliko sisi anonymous! Na taarifa yako inasambaa zaidi

    Wewe pia ulituahidi nyuzi kali tarehe 28 imekuwaje kiongozi.
  8. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

    Bfitannica alisema jana tarehe 28 angekinukisha sana ila hadi mida hii naona kimya kizito.
  9. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wanatuletea mtu ambaye hatukumchagua, maana ya kura za maoni ni nini?

    Wanasema watapigia chama cha upinzani inaonekana hawa wana ccm tarime hawasomi kusikiliza clip za Pole pole au wanapuuzia.hata wakikipigia chama cha upinzani ni Nec Nida ccm wanaamua.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuna watu mnakera hasa watanzania kwenye suala la mawasiliano

    Unganisha mifumo yako isomane tatizo litaisha ili akipiga inampeleka kwenye sms mbona ccm wameweza.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hali ya biashara imekuwa mbaya kiasi gani mpaka kuna makampuni yanapumulia mashine kwa kuajiri interns wa kujitolea ?

    Sio makampuni hata shule binafsi zinachukua waalimu na kuwafanyia interview ya mwezi au miezi miwili unapewa kufundisha masomo fulani kama ndio inteview yako kumbe unacover topics bila kujua then unaambiwa umefeli interview.usanii ni mwingi sana kwasasa na hakuna pa kusemea wala kulalamika.ajira...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Miaka 20 - 25 mbele naiona hatma ya ulaya kuamuliwa na UISLAM. mark my post!

    Huyo mama Angela merkel kaweletea matatizo sana ulaya na hao wahamiaji.pengine kuna siri nyuma yake.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Another bomb shell loading.... Gwajima is about to push the button!

    Yeye Gwajiboy atujulishe aliyehusika kumuua Mwendazake.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Yajue haya kuhusu watanzania kabla hujawatetea na kuwapigania

    Mdude Nyagali
Back
Top Bottom