Recent content by kaburini

  1. kaburini

    Spika Job Ndugai ataja sifa za mbunge kutibiwa nje ya nchi

    Chadema wanalopoka sana Tutauza mbaka figo zetu kumtibu lisu Alafu kila kukicha wanaomba miongozo kwa nini lisu apewi stahiki zake za matibabu? Sasa mlivyo sema mtauza figo zenu vipi au figo zimekwisha!!!
  2. kaburini

    Kafulila: CAG amekwepa jukumu lake kwa kushindwa kuweka msingi wa zilipo sh 1.5 trilioni

    hao ccm wamepata fulsa ya kukusanya fedha wamepiga tilion 1.5 Nyie chadema mmepewa kidogo kwa ajili ya maendeleo ya taifa Na nyie hiko hiko kidogo mlichopewa nacho mmeamua kukipiga kama wenzenu, Yaani ccm wanafuga kuku wamechukua banda moja la kuku wamegawana kuku watu wachache bila wenzao...
  3. kaburini

    Paul Makonda atishia kuwasweka ndani Lowassa na wengine wasipoitikia wito wa kwenda kusikiliza madai ya kutelekeza watoto

    Taarifa zimepelekwa ubalozini ili yule jamaa amuhudumie mtoto wake ikishindikana kupatikana baba yake basi yule mtoto wa kichina atalelewa na serikali ya Tanzania.
  4. kaburini

    Tetesi: CHADEMA kushirikiana na UKAWA kurudi Bungeni kwa kishindo kikuu

    NLD YA MAKAIDI VEPE SIO UKAWA TENA Kushirikiana na ukawa Zito ukawa ni wasaka tonge leo na yeye kageuka msaka tonge Sihasa ni ukafiri kabisa leo unapinga kesho unaunga mkono jambo lile lile ulilolikataa tena inaweza kuwa hata kuna watu wamepoteza maisha kwa kukataa kwako.
  5. kaburini

    CHADEMA kuwashitaki Polisi kwa kuwanyima dhamana wafuasi wao 25 akiwemo mbunge Heche

    Nimemsoma mmoja tu ndio kibandiko Anaitwa Ramadhani Mkude huyu anaweza kuwa ni muuza soksi posta au muuza korosho naye kapitiwa na mkono wa sheria.
  6. kaburini

    BAKWATA na Waislamu wengine, kila kitu kinachofanywa na Serikali kiko sawa kwenu?

    Ustadh juma, mwanafunzi wa chuo kikuu ambaye alikuwa ni imam katika msikiti wa Kurasini alipigwa risasi na polisi kwa makusudi wakisema ni jambazi alitaka kupora katika ATM Waislam wamepiga kelele sana kuhusu uonevu huu na zulma aliyofanyiwa Imamu juma Nyie wakristo mlisema yule ni gaidi Leo...
  7. kaburini

    BAKWATA na Waislamu wengine, kila kitu kinachofanywa na Serikali kiko sawa kwenu?

    Ukitaka kujua nguvu ya Uislam Jifunze lile tukio la Sumbawanga mkuu wa mkoa kazuia ujenzi wa msikiti usiendelee kujengwa kwa amri kutoka juu Sheikh wa mkoa katoa tamko uvumilivu mwisho j, tano Wakubwa wakatikisika kweli kweli Lakini nyie mdebwedo mmetoa walaka wenu mmeona umekosa nguvu sasa...
  8. kaburini

    Tofauti ya wazi ya waraka wa TEC na KKKT

    Wakati Wagalatia wanalumbana wenyewe kwa wenyewe sisi waislam tumekaa kimya Tunatafakuri hatma yenu hizi nyaraka/ sijui walaka ungetolewa na masheikh nadhani hivi sasa wangekuwa wameungana na wenzao kule Ukonga, na kupewa kesi ya ugaidi Ila kwa kuwa mfumo unachokonoa kutaka kujua kwa nini...
  9. kaburini

    Nimewavulia kofia 'HALOTEL'

    Ushauri wa bure ukitaka kutumia muda wa maongezi kwa raha kabisa bila wizi tumia TTCL kifurushi cha mwezi 4500 muda wa maongezi tu mitandao yote, Japo unapewa na mb 500 lakini zingatia muda wa maongezi Kuhusu bando la internet ukitaka kutumia Internet kwa raha zako na furaha zako youtube, fb...
  10. kaburini

    Viongozi wa dini kuongelea siasa ni kuwa wameacha kumsikiliza Mungu wanasikiliza watu

    Wangekuwa ni masheikh sasa hivi wangekuwa wanachezea chupa za makalio Lakini kwa sababu nchi hii ina mfumo Kristo hao maaskofu wameachwa tu wanafanya harakati Kuna tofauti gani ? Kati ya masheikh wa uwamsho kufanya harakati za kisiasa kule Zanzibar za kudai mamlaka kamili Zanzibar mbaka hivi leo...
  11. kaburini

    Wakili Kambole: Abdul Nondo hayupo vituo vyote vya Polisi

    hawa watoto wadogo bila kuwapa displin kila siku watakuwa makarai ya watu, atatoka mung'anda mwezi wa 6 baada ya tasmini ya maandamano .
  12. kaburini

    Marekani yaichunguza Serikali ya Tanzania kutokana na hali ya kisiasa pamoja na uchumi

    Jusa fb ameandika wale wageni wao wametoka Ujerumani, Bila kutafuna maneno wale ni viongozi wa mtandao wa mashoga, (Cuf walishawai kusemwa na Chadema na wao ni wanachama wa huo mtandao.
  13. kaburini

    Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi "Sugu" na Emmanuel Masonga, Wahukumiwa kwenda jela miezi Mitano kwa kosa la Uchochezi

    Amkawii kusema maagizo kutoka juu pindi sugu akipalamia kalandinga Ikitokea sugu ameshinda kesi sifa zote atapewa wakili msomi kibatala Ukitaka kuzijua akili za Watanzania leta uchaguzi , kelele nyingi mno lakini utasikia waliojitokeza kupiga kura ni asilimia 17% tu kati ya wapiga kura wote...
  14. kaburini

    Cyprian Majura Musiba ni nani na anatumwa na nani?

    Serikali msisubiri kinuke, ndio mtumie nguvu kubwa Fanyeni kama anavyofanya Nkurunziza kila anaye amasisha ama vurugu au anayepandikiza chuki baina ya mtanzania na mtanzania mwingine dawa ni paah , kimya kimya ndivyo anavyofanya Nkurunzinza kule Burundi na hivi sasa Burundi ipo salama fagia...
  15. kaburini

    Je, vijana wa CHADEMA wamechoka au kuna mgomo baridi?

    Wakazi wa kinondoni wanasema jimbo la kinondoni ni la cuf tu chadema wamekuja kumuhalibia cuf ushindi wake hata hivyo inasemekana kuna vikao vya siri vimefanyika magomeni katika ofisi mpya ya maalim seif Katibu mkuu wa cuf maalim seif pamoja na mwenyekiti wa facebook tawi la CUFmtandaoni...
Back
Top Bottom