Recent content by Kabunika

  1. K

    Diamond & Balozi Kazaura (marehemu) kutunukiwa honorary doctorate na UDSM

    Jamani Wabongo bwana,majungu tu,embu mwacheni Diamond wa watu,onyesha uwezo wako nawewe uonekane utunukiwe.Ndo maana hatufikiiiiii...Duh,aisee yani ni Sheeeeeedah...!
  2. K

    Majina HESLB yaongezwa

    Jamani mwangalizieni huyu analia hadi huruma s0738.0130.2011
  3. K

    Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    Kaka msaada wako namim kaka s0738.0130.2011
  4. K

    Kama hujaona taarifa zako za mkopo niulize nikusaidie

    kwa yeyote anayeweza kuniangalia hatma ya tokeo langu la mkopo nahitaji msaada wenu Wakuu,S0738.0130.2011
  5. K

    CCM: Hivi ikitokea katiba yenu imekataliwa na wananchi mtafanyeje?

    Jamani humu tupia maswala ya elimu tu,katika jamii forum kuna sehemu yake ya kujadiliwa katiba ila sio humu ndani...Umepewa mgonjwa umpasue kichwa unampasua tumbo!Dah ni sheeeeeeedah tu mnaleta brozaz....
  6. K

    NACTE waitwika zigo TCU

    Bwana mim nshagairi kusoma bongo nawasusia tcu,midudu ya kielimu kila idara,duh cheki sasa!Acha niwaachie wenye nchi,yani kila cku nile chini kulala juu kama ndege.Tired,damit it!
Back
Top Bottom