Recent content by Kabota A Kabota

  1. Kabota A Kabota

    JamiiForums Tanzania HESLB 2020/2021 kwa wanafunzi wa Postgraduate

    Duh ngoja tusubir wadau wengine labda kuna anaefahamu
  2. Kabota A Kabota

    JamiiForums Tanzania HESLB 2020/2021 kwa wanafunzi wa Postgraduate

    Wadau nauliza utaratibu wa HESLB 2020/2021 juu ya wanafunzi wa POSTGRADUATE kunako upewaji wa Mkopo, JE nawao wanaunganishwa kwenye hizi BATCH 2 zilizotangazwa?
  3. Kabota A Kabota

    JamiiForums Tanzania WAKUU USHAURI KONKI JAMANI.....

    MUM
  4. Kabota A Kabota

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Jamani msaada Nimechaguliwa second round mzumbe LLB lakini sikuomba second round sijui nifanyaje coz first round nilikuwa nmeshachaguliwa chuo kimoja tu MUM sasa mzumbe jana tena nakuta wamenichagua halafu ata sio kwenye matipo selection nisaidie jaman nifanyaje
  5. Kabota A Kabota

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa admitted vyuo vinne niende wapi?

    Jaman msaada nimechaguliwa mzumbe laws second round ilihali sikuomba second round, kwakua first round nilichaguliwa chuo kmoja tu Mum, sasa sijui nifanyaje jaman
  6. Kabota A Kabota

    JamiiForums Tanzania SECOND SELECTION MZUMBE TUKUTANE HAPA

    Mkuu mie nmechaguliwa mzumbe round ya pili LAWS but sikuomba round ya pili coz nilikuwa nmechaguliwa round ya kwanza sasa cjui nifanyeje, kama unaujuz na hili nijuze
  7. Kabota A Kabota

    JamiiForums Tanzania Uombaji wa vyuo awamu ya pili

    Kwahyo chuo So nauliza kama unahamia chuo kingine ulipaji wa ada inakuaje kama bado mkopo wako haujaanza kupelekwa kwenye chuo ulicho hamia?
  8. Kabota A Kabota

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuhama chuo kwenda chuo kingine

    Dah kwel we mtengwa
  9. Kabota A Kabota

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuhama chuo kwenda chuo kingine

    Shukran sana
  10. Kabota A Kabota

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuhama chuo kwenda chuo kingine

    Shukran saana
  11. Kabota A Kabota

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuhama chuo kwenda chuo kingine

    Habari wana JF, nauliza ni vipi unaweza hama chuo ambacho umechaguliwa lakini hujaridhika nacho kwenda chuo kingine? Naomba kusaidiwa muongozo wa kuhama chuo kwa mwaka huu 2017/2018
  12. Kabota A Kabota

    JamiiForums Tanzania University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Mkuu leo mambo yanaweza pendeza??????
  13. Kabota A Kabota

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi zaidi ya 31000 kukosa mikopo ya elimu ya juu 2017/2018

    31000 watakosa mkopo ili hali wamelipia Tsh 30000 kila mmoja jumlisha kutuma EMS walio wengi wametuma kwa Tsh 13100 ukijumlisha ni sawa na Tsh 133,610,0000. LAkini licha ya kukusanya pesa yote hiyo na ukichanganya bajeti yao ya mwaka bado utasikia hata hao 30000 ambao inasemekana ndio watakao...
Back
Top Bottom