Recent content by kabana

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusu Karma Kwanini unashindwa ku-move on na maisha yako baada ya kuumizwa lakini waliokuumiza wanaishi kwa furaha sana bila kujali

    Kiukweli umetufungua sana. Maisha yako tofauti na ambavyo tunayachukulia. Ukiwa mwema sana utatumika tu. Ahsante sana mkuu kwa Uzi mzuri
  2. K

    JamiiForums Tanzania Maumivu ya upande wa kushoto

    Kuna uwezekano wa kuwa na vidonda vya tumbo pia.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mtunzi wa tamthilia ya kombolela apewe maua yake

    Hii tamthilia Ina akisi maisha na tabia zetu kwa kiasi kikubwa. Tabia ya utegemezi na kutotaka kufanya kazi, kukosa shukran kwa ndugu. Kongole mtunzi
  4. K

    JamiiForums Tanzania KERO CRDB hiki mnachofanya sio sahihi, App inaandika ni bure kuangalia taarifa fupi ya miamala, baada ya kuangalia unakatwa Tsh 450

    Kiukweli CRDB wanaumiza wateja sana. Fikiria mtumishi amekopa mkopo wa miaka 7 amekatwa bima tuseme 2m. Baada ya miaka miwili mtumishi anatop up anakopa Tena mkopo tuseme wa miaka saba Tena, CRDB wanamkata Tena huyu mteja bima ya miaka 7 Tena. Huu ni utapeli wa wawazi lakini mamlaka husika km...
Back
Top Bottom