Recent content by Kabaka GM

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sababu 10 za CCM kuendelea kuongoza Tanzania

    Ndoto ya mchana kweupe namna hii
  2. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ala kiapo batili, hata cha uwaziri haramu

    Hili nalo linajadiliwa? kama utaratibu wa sehemu unahitaji majina matatu utashinikiza manne?
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mkuu wa Mkoa wa Mara aanguka ghafla na kufariki dunia!

    Mwili wa marehemu umehifadhiwa hospital ya mkoa kusubiri taratibu za serikali kwa maziko
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mkuu wa Mkoa wa Mara aanguka ghafla na kufariki dunia!

    R.I.P Shujaa TUPA
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanganyika imerudi

    Dhambi ya kujitenga "Nyerere"
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kura ya maoni kuhusu Muungano-ITV

    Kuingia katika mfumo mpya kabla ya kujiondoa kwenye mfumo wa awali si haki na sawa. Kama tuko serious na issues vema kuuvunja kwanza huu muungano wa awali halafu ipite kura ya maoni kwetu wananchi kupata ridhaa ya huo muundo wa serikali tatu kabla ya kuja na hiyo rasimu inayojadiliwa. Hapa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Kitila Mkumbo ni Mfano wakuigwa kwa wanasiasa wote wanaojiamini na Kujisimamia

    Nadhani alifanya vema kujiweka wazi kwa kile alichokiamini na ambacho ni sahihi kwa demokrasia ya kweli hata kama ataonekana kwa sura ya usaliti kwa upande wa pili. Ni shujaa mwenye mtazamo thabiti ambao matokeo ya maono kama haya huonekana baadaye sana kwa watu wanaohukumu harakaharaka tu.
Back
Top Bottom