Recent content by kabadimichael

  1. K

    JamiiForums Tanzania Cheque namba Utumishi wa Umma

    Ndg halmashaur mpya ipo mkoan tanga kwan cheque namba inaweza ikachukua mda gan mana wezet halmashaur nyngne walpata within 2 weeks but mi xaiv naenda mwez 4
  2. K

    JamiiForums Tanzania Cheque namba Utumishi wa Umma

  3. K

    JamiiForums Tanzania Cheque namba Utumishi wa Umma

    Ndg auguvale naomba contact tuongee kimapana zaid
  4. K

    JamiiForums Tanzania Cheque namba Utumishi wa Umma

    Mwenye uelewa na cheque namba za utumishi wa umma znatolewa baada ya mda Gan?Nmerport kazn tang mwenz wa 10-2015 nmeambiwa nsubr cheque hadi saiv miez 4 npo home!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kuchelewa kwa 'cheque number'

    Mwenye uzoefu na mambo ya utumishi wa umma, Nilibahatika kupata ajira mwaka jana mwezi wa 10 nikaenda kulipoti Kwenye halmashaur ya wilaya husika lakin tangu report nambiwa cheque namba bado haijatumwa wakat wezangu walpata ndan ya wiki 2 tu. Mwenye ufaham wa haya maswala anijuz!
Back
Top Bottom