Recent content by Kabachubya

  1. K

    JamiiForums Tanzania Germany shepherd puppies wanauzwa

    Hizo hapo. kikubwa ni kuja kuwaona ndio unajihakikishia zaidi. picha naweza hata kudownload nikakuwekea.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Germany shepherd puppies wanauzwa

    Habari zenu members? Nauza pure GSD puppies. Kwa mawasiliano 0717123464
  3. K

    JamiiForums Tanzania Germany shepherd puppies for sale

    mambo vipi wana jf? Nauza mbwa pure germany shepherd puppies wamezaliwa trh 29,july, 2015. Bei ni 500,000/= kwa mawasiliano 0717 123464 karibuni
  4. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa tabata

    Bado ipo mkuu. Karibu.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa tabata

    kwa unit moja hiyo. Na ndio hiyo moja iliyobaki. nyingine ina mtu tayari.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa tabata

    Kaka Bribaki kama kusoma tatizo, hata picha huoni? Inabidi ukaangalie sasa uone vizuri.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa tabata

    Habari wa JF! Napangisha nyumba ni units mbili. Unit yani upande mmoja una vyumba viwili, jiko,sebule na public choo + bafu. Kuna tank la maji fence na parking pia. Kuna vibanda vya mbwa na kuku kama ni mfugaji. Nyumba ipo Tabata kimanga bonde la mchicha na kunafikika nyakati zote. Angalia...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Gs puppies for sale

    Habari za jioni wana JF? Hizo ni picha mnaweza kuziangalia mkafanya maamuzi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Gs puppies for sale

    mambo vipi wana jf? Nauza mbwa pure germany shepherd puppies wamezaliwa trh 29,july, 2015. Bei ni 500,000/= kwa mawasiliano 0717 123464 karibuni
  10. K

    JamiiForums Tanzania 4 Bdrm House for Rent at Mikocheni A

    Umasikini ni kitu kibaya sana, na ndio maana masikini hawezi kuendelea hadi siku atakapoacha majungu na kufanya vitu vya maendeleo. Hiyo nyumba haijashushwa toka mbinguni, nendeni masani muone kodi USD 4000 kwa mwezi. piga hesabu zako sasa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania 4 Bdrm House for Rent at Mikocheni A

    Mikocheni A, A 3 bedrooms (1master bedroom) unfurnished house with common bathroom, lounge,dining room,kitchen, ample parking space. Direct contact to the proprietor. Staff quarter has 2 AC rooms, kitchen,toilet and bathroom, garage also. Preserve water tank 12,000 liters. Rent is USD...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Nahitaji used 5 drs RAV4 any yr between 1999 mpaka leo, offer 8.5M

    mambo vp? Hiyo e-mail yako ni ya ukweli? naona inakataa. kama una 9.5 million mimi ninayo RAV 4. picha ndio hizo.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Toyota duet inauzwa bei nzuri.

    mambo vipi wana JF? Toyota Duet ya milango mitano inauzwa. Mwaka 1999 Kilometa 71400km Engine Cc 980 Bei 5,000,000 Kwa mawasiliano 0717 123464 au 0762 101178
  14. K

    JamiiForums Tanzania Duet inauzwa bei poa

    Duet iko sokoni.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nyumba inapangishwa - Tabata Kimanga

    Ndio hivyo , tena kodi unalipa ya miezi 6 sio mwaka mzima.
Back
Top Bottom