Nahitaji used 5 drs RAV4 any yr between 1999 mpaka leo, offer 8.5M

Ukipata Rav4 ya 1999 chini ya 100KM itakuwa imechoka sana. Jamma yangu aliuza kama hiyo mwaka jana kwa 14M na ushuru umepanda sana mwaka huu
 
Wakuu nisaidieni na mimi niingie njiani,nahitaji nianzie kwenye used RAV4-auto au manual/5 doors/any color/Km1-100,000.
Ili mradi iwe kwenye hali nzuri kwenye engine na bodi,tyre na usafi wa kuridhisha.
naanzia kwenye 8.5Million(8,500,000).
BIMA SIO MUHIMU, NITAENDESHEA huku huku.unaweza kuni PM au kunitumia temeke2012@yahoo.com
TMK DAR
Piga 0719077297 fasta, ukichelewa hadi Jumapili hutaipata!
 
Wewe kuwa Mjanja .. Electrical cars Ndizo GARI confortable kupita zote... Mafundi Wa bongo hapo awali hawakuzijulia sana Kwa sababu ya mfumo wake wa umeme Kwa sababu mechanical component are functioning sambamba Na mechatronics system ndio maana zikawa zinawasumbua.. Nothing like GDI....
 
Wana jamii natafuta batery ya SAMSUNG GALAXY mini GT-S5570, nimetafuta sana mjini Dsm bila mafanikio kabisa. Naomba msaada wenu wana forum. (Contact me 0713599507 au 0784599507)
Mkuu jaribu kufungua uzi wako ili watu wachangie. Hapa umeleta pasipotakiwa, vinginevyo jiandae kupata majibu usiyotarajia.
 
Ninayo ya 1996 natumia mwenyewe mil 11500000 hali ninzuri siyo kubabaisha kinyerezi nicheki kwa no 0787321020 akuna dalali
 
mambo vp?
Hiyo e-mail yako ni ya ukweli? naona inakataa. kama una 9.5 million mimi ninayo RAV 4. picha ndio hizo.
 

Attachments

  • DSC02595.JPG
    DSC02595.JPG
    40.9 KB · Views: 39
  • DSC02597.JPG
    DSC02597.JPG
    35.8 KB · Views: 36
  • DSC02599.JPG
    DSC02599.JPG
    33.3 KB · Views: 35
Back
Top Bottom