Recent content by JVA

  1. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Ngonyani: Hakuna mahali popote katika Historia panapoonesha kuliwahi kuwepo Nchi /Taifa ya Palestine na ikavamiwa!

    [emoji120][emoji120][emoji120]angalau tupate Mwanga. Ila hao wanaotukama watu kwa dini zao tunawaombewma pia. Nachoamini katika maisha yangu Mungu yupo sijui atamtumia nani lakini yupo.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nilikuwa nampongeza brayanca sorry
  3. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana sana. Mungu akutangulie kwenye majukumu Yako.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu naomba unipe hiyo post Yako wewe uendelee kusubiria kwenye chai ya maziwa. Samahani lakini. Wengine Tunatamani hata kusiko na chai. Daaah.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Mkataba na IT umekwisha tayari. Tuendelee kuomba kazi CDOs jamani. Japo inauma lakini ndio hatma imeamua.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Eti wanatangaza Tena lini kazi za CDOs? Mtu akiona Tangazo naomba Ani pm.maana nadhani Leo CDOs tumemelizana na IT kwa nafasi zilizotangazwa 800
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Tuendelee kuwa na subira.. Kuna gap filling pia ambao hawataripoti. Mungu akasimame nasi tu.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Looking for a job. Sex: female Education: bachalor of arts in Sociology Work experience: 2 years Location: Nzega-Tabora
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tupo wengi, tuendelee kuwa na Imani. Mungu atatutendea na sisi.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Ahaa. Sawa
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hongera sana. Kila la kheri kwenye utumishi wako.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Naona wameitwa ustawi wa jamii. Nikajiuliza ndio wamechukua kwenye Hawa hawa.tuofanya za CDOs au Kuna interview nyingine walifanya?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Mie Bado, Tunaendelea kusubiri.
Back
Top Bottom