Recent content by juvenile davis

  1. juvenile davis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?

    Walimu kila sehemu yeye anajua ni darasani.anaacha kujikita kwenye mada yeye anaanza kutafuta makosa ya kiuandishi wa herufi za R na L[emoji23][emoji23]
  2. juvenile davis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?

    Asante boss
  3. juvenile davis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake na nyie mnatamani wanaume kama sisi?

    Wewe ni mwanamke??
  4. juvenile davis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi ni wagumu wa kulipa madeni?

    Bwana Kennedy ni nini unacheka
  5. juvenile davis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jambo gani baya umewahi kumfanyia mpenzi wako na utajutia milele?

    Aisee pole sana mkuu hii iwe fundisho sasa
  6. juvenile davis

    JamiiForums Tanzania Dr. Tulia utashinda IPU sio Mbeya

    We hauishi mbeya mjini .barabara kibao ni mbovu bora hata Sugu alijitahidi.ukienda Nonde,mabatini,Ghana,iziwa,Nsoho hakupitiki Kwa ubovu wa miundo mbinu.sasa wewe mwenzetu sijui unaishi mbeya mjini ipi?? Tulia anachoweza ni mbio.kata ambazo Tulia nina uhakika atapata kura ni Iziwa na Nsoho...
  7. juvenile davis

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu matibabu ya presha

    Hiyo green tea ndio mchaichai au?
  8. juvenile davis

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu matibabu ya presha

    Nashukuru sana Kwa ushauri mkuu! Kwa kweli inaniumiza sana hii hali
  9. juvenile davis

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu matibabu ya presha

    Umenifanya Nicheke sana
  10. juvenile davis

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu matibabu ya presha

    Asante mkuu! Maana naona hapo juu mmoja anasema nitumie green tea na mwingine anakosoa kwamba haifai..
  11. juvenile davis

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu matibabu ya presha

    Cholesterol sijapima mkuu,uzito ni kg66 ila kuhusu height pia sijui ila mi sio mrefu wala sio mfupi.nipo normal.sivuti na sinywi wala hizo chumvi nyigi sio sana.wasiwasi ninao mkuu hasa baada ya kupata taarifa za ugonjwa.
  12. juvenile davis

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu matibabu ya presha

    Wakuu habari zenu? Nina miaka 35 sasa ila nasumbuliwa na changamoto ya ugonjwa wa presha kuwa juu. Nina miezi minne sasa tangu tatizo lianze. Kwa yeyote anaejua matibabu au dawa nzuri ya kuondoa kabisa hili tatizo naomba msaada tafadhali. Nimeshafanya vipimo vya moyo ila hakuna tatizo...
  13. juvenile davis

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Nyerere na MV. Mwanza ni kielelezo tosha kuwa Hayati Magufuli alitumia vyema pesa za umma. Sio hii habari ya tril 1 kujenga madarasa hewa

    Kwa nini hamtaki kuamini kwamba huyo mtu wenu hatorejea tena duniani??
  14. juvenile davis

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi asisitiza uharaka wa uanzishwaji Mahakama ya Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar

    Sasa Magufuri anahusika na nini hapo?? Hivi bado tu hamu amini tu kwamba alishafariki na hatorejea tena?
  15. juvenile davis

    JamiiForums Tanzania Wassira: Ieleweke wazi tunapoandika Katiba Mpya Sera ya CCM ni Serikali 2 kuelekea 1 na Siyo vinginevyo

    Sasa CHADEMA imekujaje hapo mkuu?? [emoji1787][emoji1787]Vijana wa Tanzania wa sasa kuna kazi sana katika hii nchi
Back
Top Bottom