Recent content by Juvenalis Collin

  1. Juvenalis Collin

    Msaada: Wahamiaji haramu wa Kitanzania kutoka Afrika Kusini walioletwa jana wako gereza gani?

    🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️🙆🏻‍♂️hili tango pori mzee unatulisha haipo hata kidogo jaribu kuuliza vizuri kwanza kabisa hiyo Embassy yenyewe ukienda km unataka Temporary Travel Document unalipa Rand 1000 ambayo ni sawa na Tzs 151,000 wakati ile Wilayani inatoka kwa Tzs 30,000 kwahiyo hilo swala la kusema...
  2. Juvenalis Collin

    Wazamiaji kiholela Afrika Kusini warudishwa

    Naomba tuwakane sawa ndugu zangu hawa vijana waliorudishwa wamepewa case inayoitwa "IMMIGRATION CASE" ambayo inawahusu wale wote ambao wanaishi bila vibali maalum vya South Africa ambao wanawaita "ILLEGAL IMMIGRANTS" sasa unakuta mtu kaingia S.A na passport na kama inavyojulikana Watanzania...
Back
Top Bottom