Ninahifadhi uliyoibua kama na hoja na maswali! Nikiweka mwendelezo wa pili nitaomba upate nafasi ya kuupitia kwa kiasi fulani nitakuwa nimejibu baadhi ya hoja ila pia nitakuwa tayari kuyasemea yale ambayo yatakuwa nje ya nilichokwisha andika.
Nimefurahi kusoma kutoka kwako
SEHEMU YA KWANZA:
July 2017 nilihudhuria kikao cha chama cha mchezo wa kuogelea Tz (TSA) kilichofanyika kwenye ukumbi wa Paparazi pale Hotel Sleep Way ~ Masaki. Kwa wakati ule nilikuwa ni muogeleaji mzoefu na part-time nilikuwa nikifundisha watu kuogelea but zaidi kwa wakati ule nilikuwa...
Pongezi kwa wote ambao mmefanikiwa kuhitimu elimu ya sekondari kwa mwaka huu. Safari inaendelea na huko mbeleni yapo ya kila aina ila wewe unaweza kubaki wa aina hiyohoyo au aina mpya kikubwa ni kwamba maisha hayajasimama. Kama ndivyo basi nawe usisimame au usikubali kwenda na wanaorudi.
Kesho...
Katika kuwinda fursa za ajira na nafasi mbalimbali za kazi, yapo mengi utayasikia zikiwemo ahadi za hapa na pale nyingine zikiwa za ukweli na nyingine zikiwa zile zenye kufunza kukupima uwezo wa kuhimili yasiyohimilika.
Katika baadhi ya mazingira utajikuta unalazimika kufanya ambacho hukusomea...
Nakuelewa sana. Unafahamu kuwa ni vigumu kufikiria nje ya kile unachokisikia mara kwa mara eeeh?
Asante kwa kuliibua hili ili watu waanze kusikia stories tofauti nao fikra zao zianze kujongea penye uwezekano[emoji1666]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.